Lowassa afunika Iringa

na mimi ninakajumba kangu hivi wakuu nikimwomba Lowassa anaweza kunisaidia kumalizia ujenzi wake??
 
ni ukweli usiopingka kuwa huyu mh.anajiandalia kili kitu mwenyewe. Hata arusha alishaandaa maandamano ya kumpokea kamanda wa polisi akayazuia. Ndo zake anaratiba iliyoandaliwa na wapambe wake mpaka mwishoni mwa 2014
Ngoja watanzania wafaidi mali zao hizo jamani.
 
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli amedhihirisha nguvu kubwa na utajiri wa watu aliyonao, baada ya kupata mapokezi makubwa Mkoani Iringa.Lowassa amewasili Iringa asubuhi hii akiongozana na wabunge karibu wote wa mkoa wa Iringa,kwa ajali ya Harambee ya ujenzi wa kanisa na Kituo Cha radio Cha overcomers.viongozi wote wa Chama tawala Mkoani Iringa na Serikali nzima imempokea Mh Lowassa.
raisiiiiiii.....!!!!
raisiiiiiii....!!!!!
raisiiiii......!!!!
raisiiiii.....!!!!
raisiiii......!!!!!
go EL, go EL, go EL....!!!!??
ni maoni tu wakuu, msitoke povu vijana.! freedom of speech..
 
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli amedhihirisha nguvu kubwa na utajiri wa watu aliyonao, baada ya kupata mapokezi makubwa Mkoani Iringa.Lowassa amewasili Iringa asubuhi hii akiongozana na wabunge karibu wote wa mkoa wa Iringa,kwa ajali ya Harambee ya ujenzi wa kanisa na Kituo Cha radio Cha overcomers.viongozi wote wa Chama tawala Mkoani Iringa na Serikali nzima imempokea Mh Lowassa.

Huyu ndie Rais wa Tanganyika 2015. Safi sana.
 
Wapumbavu hunena wasiyoyajua kipumbavu, wenyema hekima ni akiba kuzima upumbavu uletwao na wapumbavu. wenye hekima na wafahamu!
 
Akina saanane wanamhofia sana lowasa kilathread inayohusu lowasa huyo anachangia...watu waliokarbu na uongoz wa juu wa cdm wanasema lowasa alipata misukosuko sawa lakini ni mtu hatari sana kwa mikakati ya ushndi na akiptshwa na ccm 2015 kazi itakuwa ngumu kwa cdm wanasema ishu ya arumeru alihujumiwa na uongozi wa mkoa hususani mkuu wa mkoa na chama makao makuu na cdm walipewa linkage ya mikakati ya ushindi na mulugo na kna nape bt akpta kwa chama taifa itakuwa ni ngumu kumhujumu
 
Akina saanane wanamhofia sana lowasa kilathread inayohusu lowasa huyo anachangia...watu waliokarbu na uongoz wa juu wa cdm wanasema lowasa alipata misukosuko sawa lakini ni mtu hatari sana kwa mikakati ya ushndi na akiptshwa na ccm 2015 kazi itakuwa ngumu kwa cdm wanasema ishu ya arumeru alihujumiwa na uongozi wa mkoa hususani mkuu wa mkoa na chama makao makuu na cdm walipewa linkage ya mikakati ya ushindi na Magesa(Mkuu wa mkoa wa Arusha) na kna nape bt akpta kwa chama taifa itakuwa ni ngumu kumhujumu kwan ccm itakuwa inajmaliza yenyewe
 
Wapumbavu hunena wasiyoyajua kipumbavu, wenyema hekima ni akiba kuzima upumbavu uletwao na wapumbavu. wenye hekima na wafahamu!
 
Wapumbavu hunena wasiyoyajua kipumbavu, wenyema hekima ni akiba kuzima upumbavu uletwao na wapumbavu. wenye hekima na wafahamu!
 
watu wanasema EL ni fisadi hawajui kuwa ameshatubu? kama kweli ni fisadi kama inavyosemekana. Mungu anasamehe
huyu EL ni kiongozi mchapa kazi watanzania wanafahamu, waulize watendaji wa halmashauri shughuli ya lowassa watakuambia. isitoshe watu wengine wanotajwa kuchuana nae kuwania urais CCM hakuna anemmweza mf;MEMBE SITA MIGIRO SALIM NCHIMBI MAKINDA WASIRA MAGUFULI MWAKYEMBE riz1 akikua sumaye etc wote hawa hawamuwezi labda kwa Dr.Slaa ndo atakuwa na kazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom