Lowassa adaiwa kutaka kuuawa!

alot of kujichanganya apa mbona mnarukia yale (majamaa machakachuaji ya kura tunazopiga) mashushushu ya pale makumbusho kwa nyuma (uwt) why not... Umoja wa wanawake tanzania, umoja wa walimu tanzania au usalama wa taifa, ebu weka vizuri tutoe pwenti zetu
Wengine wako karibu na kanisa la St. Peters.
 
Hivi huyu Fredrikck lowassa anajua ni wangapi hawampendi baba yake? bado na ndoto ya kumpendwa kwa baba yake? hana akili kama kweli ndiye katoa kauli hiyo
 
mmmmmh

lisemwalo lipo na kama halipo basi lipo njiani linakuja

elewa kuwa kukuchekea sio kufurahi nawe,anaye kuchekea ndio mbaya wako

yetu macho na masikio
 
Hawa Usalama wa Taifa wakitaka kuua mtu wanatangaza kwenye vyombo vya habari mtoto wa lowassa kaokota wapi taarifa hii? wamebanwa kisiasa wanatapatapa
 
Nimeon hii habari kwenye gazeti la Dira sikumbuki tarehe ila wanadai Fred ali kuwa kwenye bar/hoteli Arusha akamwona jamaa waTISS akamfata na kuanza kumpa shit kwamba hakutegemea mtu kama yeye wanafahamiana vile halafu na yeye anakuwemo kwenye ishu kama hiyo yule jamaa akaita polisi wakamchukua Fred mpaka kituoni alipofika wakamwambia aandike statement akagoma nakuanza kulia kwa sana sijui kwa kumuogipa wakamwambia ajidhamini aje kesho pombe ikisha jamaa akaondoka akazima na simu akarudi Dar kimya kimya kwa kifupi ndo hivyo
 
Kwa hiyo ni habari za Ulevini?? Mnajua kuwa hizo na Tuhuma kubwa sana kwa Chombo Husika??
 
Hii habari niliiona kwenye gazeti la DIRA toleo la jtano last week kama sijakosea. Ni kwamba Fredrick alikuwa na washkaj zake kule AR kwenye hotel ya Mount Meru (sina uhakika na hotel name) ila ilikuwa hotelini wanapata kilevi na mara akapita jamaa mmoja wa UWT Arusha ambaye maisha yake ya starehe yanategemea mfuko wa Fredrick (huwa anawekwa mjini na mtoto wa EL) kwa hiyo ni washkaj.

Kwa kuwa FL alishalewa akaanza kumkunja mshkaj kuwa anaandaa njama za kumuua mdingi wake (EL). Ilitokea zogo pale ikabidi jamaa wa UWT akimbilie kufungua file pale Arusha Central. Huku FL alitoweka na akazima simu zake zote kwa kuogopa hiyo issue kuwa kubwa na kutafutwa maana alijua EL hatafurahia hizo habari na ingembidi mwanae atoe ushahidi polisi kwa aliyoyasema.

Japo habari zinasema pale AR familia ya EL inaogopwa kama mafuriko ya jangwani na hakuna mtu wa kuwagusa na ndio maana FL hajatafutwa na polisi na hiyo issue haijasikika tena.

Hii habari inawezekana kuwa kweli maana ugomvi wa EL na JK uko live kwa sasa na lazima mmoja apungue kwenye siasa kabla ya uchaguzi mkuu wa CCM mwakani. Unajua EL ana mtandao mkubwa wa wenyeviti wa CCM mikoani na anaweza kumshinda JK kwenye uenyekiti wa taifa which means baba Riz anaweza kutemeshwa kitumbua cha pale magogoni. Kikawaida hawezi kukubali hilo litokee akiwa anaangalia tu.
 
Wakuu heshima mbele,kwenye magazeti ya leo imefahamika kuwa Fredrick Lowasa mtoto mkubwa wa EL amereport kuwa UWT wana mpango wa kumuua baba yake kwa kile ambacho hakijawekwa bayana!!kama ada wanajamvi kwa weredi,tunapenda kujua imetokea nini ghafla hivyo au ni kujihami baada kushukiwa na kuwalisha sumu baadhi ya wapambanaji wa ufisadi???nawasilisha

Ni kweli chanzo cha Habari hii ni Dira lisilojulikana tarehe? Na Chanzo halisi ni Ulevini??
Tafadhali tujuze hizi si Tuhuma za kufanyiwa Mashara.
 
Wewe tueleze una nia gani ya kuuliza wenzako percentage ya kifo?

Mkuu let me be clear

ukisoma post ya pasco amepost kama vile tayari anajua likelihood ya jamaa kuuwawa au la, and that ahs been our weakness as JF members we usually throw some tokens of ideas and runa away from them when asked to justify... unaporejea post ya pasco na jitahidi sana kunielewa natafuta nini

it would have been easier kusema hivi: nijuavyo mimi uwezekano wa kuuwawa lowassa upo au haupo na ni xxx.

Personally sidhani kama Lowassa kwa tentacles alizonazo anahaja ya kutmia mwanawe kusema anataka kuuwawa this is not possible unless gazeti limemkopi vibaya au ni siasa uchwara

kama ni wa kuuwawa angeshajua kwani yeye ni mmoja wao

we just want to prolong uzushi wa wanasiasa.....

SIONI HAJA WALA ULAZIMA WA KUMUUA EL
 
Hii habari niliiona kwenye gazeti la DIRA toleo la jtano last week kama sijakosea. Ni kwamba Fredrick alikuwa na washkaj zake kule AR kwenye hotel ya Mount Meru ( sina uhakika na hotel name) ila ilikuwa hotelini wanapata kilevi na mara akapita jamaa mmoja wa UWT Arusha ambaye maisha yake ya starehe yanategemea mfuko wa Fredrick (huwa anawekwa mjini na mtoto wa EL) kwa hiyo ni washkaj.
Kwa kuwa FL alishalewa akaanza kumkunja mshkaj kuwa anaandaa njama za kumuua mdingi wake (EL). Ilitokea zogo pale ikabidi jamaa wa UWT akimbilie kufungua file pale Arusha Central. Huku FL alitoweka na akazima simu zake zote kwa kuogopa hiyo issue kuwa kubwa na kutafutwa maana alijua EL hatafurahia hizo habari na ingembidi mwanae atoe ushahidi polisi kwa aliyoyasema.
Japo habari zinasema pale AR familia ya EL inaogopwa kama mafuriko ya jangwani na hakuna mtu wa kuwagusa na ndio maana FL hajatafutwa na polisi na hiyo issue haijasikika tena.

Hii habari inawezekana kuwa kweli maana ugomvi wa EL na JK uko live kwa sasa na lazima mmoja apungue kwenye siasa kabla ya uchaguzi mkuu wa CCM mwakani. Unajua EL ana mtandao mkubwa wa wenyeviti wa CCM mikoani na anaweza kumshinda JK kwenye uenyekiti wa taifa which means baba Riz anaweza kutemeshwa kitumbua cha pale magogoni. Kikawaida hawezi kukubali hilo litokee akiwa anaangalia tu.

Mkuu para ya Mwisho ina Maoni yako ambayo si sahihi, yanathibitisha kuwa hujui hata Mfumo wa Uchaguzi wa CCM acheni kubuni Tuhuma zisizo na Msingi mnaweza kuhatarisha Maisha ya Watu wasio na Hatia.
 
Walinzi wa Lowassa ni Usalama wa Taifa kwa pamoja na mawaziri wakuu wengine wastaafu wote kama ni suala la kumuua basi ingekuwa jambo jepesi hata kwa sumu ya kumuua taratibu. Hawana shukrani kodi zetu zinapotea kuilipa UWT kumlinda Lowassa leo mtoto anasema wanataka kumuua....pambafu
 
Ni kweli chanzo cha Habari hii ni Dira lisilojulikana tarehe? Na Chanzo halisi ni Ulevini??
Tafadhali tujuze hizi si Tuhuma za kufanyiwa Mashara.
Ndiyo hivyo mzee tafuta gazeti hilo vibandani na wewe usome hii habari mbona ni habari kuu kwenye hilo gazeti siku hiyo
 
Wakati anapata uwaziri mkuu hakusema UWT wamemsaidia kuupata leo kaukosa kwa kashfa binafsi anadai wanataka kumuua... mzee siasa zimeanza kumchanganya pengine ameshtukia kwamba Idara ya Usalama wa taifa ndio kizuizi cha kuukwaa Urais 2015
 
jamani eh, msiogope, si ndio tunajifunza mambo hapa JF???

KWA MARA YA KWANZA LEO NAONA MEMBERS WENZANGU HAMNA IMANI KABISA NA MIMI AISEE
View attachment 44110

mtu km wewe kule kijijini kwetu tunamwita ZERO.kwa tafsiri nyingine ni sawa na mtu kujifunzia gari kariakoo af anaeka gia namba 3.kwa ujumla JF HATUPIMIKI
 
Kama ni gazeti la Dira sitaki kuamini mapema ni moja ya magazeti ambayo waandishi wake wananunuliwa kirahisi sana
 
Fredirick Lowassa anatajwa kwenye mpango mkakati wa kumlisha sumu Mwakyembe naona kaamua kupumulia Usalama wa Taifa. Wamempa sumu mwakyembe kwa madai kwamba ni miongoni mwa vikwazo vya baba yake kuupata Urais 2015

Huyu Lowassa mdogo naye si alitajwa katika kumuua Mwakyembe, aliwapelekea mbuzi wale Alshabaab. Sasa anaweweseka baba yake kuuwawa. Tutasikia mengi sana hadi 2015
 
Threads nyingi hapa zipo za Lowasa..Lowasa... Ukizisoma hazina cha maana.

Ninachokiona ni strategies za watu wake maalum ambao wamewekwa kuhakikisha anakuwa kwenye ''Head lines'' muda wote.

Biashara matangazo...
 
Lowassa akifa hakuna hasara kwa taifa lakini tungependa asife mpaka kwanza tumpeleke mahakamani kwa kashfa ya Richmond
 
Wakuu heshima mbele,kwenye magazeti ya leo imefahamika kuwa Fredrick Lowasa mtoto mkubwa wa EL amereport kuwa UWT wana mpango wa kumuua baba yake kwa kile ambacho hakijawekwa bayana!!kama ada wanajamvi kwa weredi,tunapenda kujua imetokea nini ghafla hivyo au ni kujihami baada kushukiwa na kuwalisha sumu baadhi ya wapambanaji wa ufisadi???nawasilisha
Kama ni kweli basi watafute sumu nyingine na sio ile POLONIUM 3... inaonekana haiko madhubuti kiivyo...tumechoka kupeleka watu India kumaliza kodi zetu:alien: kelele nyingi magazetini tumechoka ...polisi wako kimya hakuna cha kukamatwa watuhumiwa: kumbuka tuhuma za Mwakyembe.
 
Back
Top Bottom