lowassa aahidi kujenga makaburi huko arumeru

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,039
2,199
katika hekaheka za kampeni huko arumeru,lowassa amejukuta akitoa ahadi ya kujengea makaburi ya wachezaji huko sakila.
Kwa wale wakazi wa meru watakumbuka kuwa kuna ajali mbaya ya trekta lenye wachezaji iliwahi kutokea huko maeneo ya sakila.
Ajali hii ilivuta na bado inaendelea kuvuta hisia za wakazi wa meru.

Kwa nguvu zote mheshimiwa EL ameahidi kujengea makaburi hayo iwapo wananchi watamchagua siyoi
 
Kwa hiyo sera ya ccm ni kuangalia 'wafu' na sio walio hai? Ndio maana wanaamuru police wauwe?
 
hili ni jambo lililowakera wananchi sana,lowassa anaonekana ameenda kuwadhihaki wananchi.
 
Ana haki ya kusema hivyo kwani huko ndiyo kwao haswaaaa,ila ningemshauri awajengee shule au kanisa au soko au chchote cha jumuiya na aweke maandishi ya kuonesha jengo hilo ni kwa ajili ya kuwakumbuka hao wahanga wa trekta
 
hawa wazee wameshachoka sana,mungu anawaumbua mmoja baada ya mwingine.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom