Lowasa ukikanyanga Arumeru----ukikanyaga Arumeru------

KIROJO

Senior Member
Dec 7, 2011
169
21
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, alitoa tahadhari kwa mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, akisema kuwa CHADEMA inamsubiri kwa hamu aingie katika uchaguzi wa Arumeru.

“Nataka kumwambia Lowassa kuwa tunamsubiri kwa hamu aingie kwenye hizi kampeni, akikanyanga Arumeru…akikanyaga Arumeru…akikanyaga Arumeru…tunajua kuwa yeye ni Mmeru aliyejibadili na kujiita Mmasai, tunajua madhambi yake mengi tutayafumua yote, tunaomba aje,” alisema Lema na kuongeza:

“Juzi nimesikia kuwa mgombea wao katika kikao cha ndani aliomba kujitoa katika kampeni hizi wakamkatalia, maji yameshawafika shingoni sasa aende akagombee ubunge huko Uingereza ndiko wanatoboa masikio.

Ndugu zangu haki haiombwi haki inapiganiwa, mwizi ni mwizi tu hata kama angekuwa baba yako, msiwaruhusu kabisa watembee usiku na kuhonga watu au kuiba shahada za kupigia kura.

My take ;Lowasa anamjua Lema alivyo ,kama hamjuwi....fatilia kesi yake ya kupinga matokea ndo utajua picha halisi

SOURCE:
TANZANIA DAIMA 19/03/2012
 
"Nataka kumwambia Lowassa kuwa tunamsubiri kwa hamu aingie kwenye hizi kampeni, akikanyanga Arumeru…akikanyaga Arumeru…akikanyaga Arumeru…tunajua kuwa yeye ni Mmeru aliyejibadili na kujiita Mmasai, tunajua madhambi yake mengi tutayafumua yote, tunaomba aje," alisema Lema na kuongeza:
"Juzi nimesikia kuwa mgombea wao katika kikao cha ndani aliomba kujitoa katika kampeni hizi wakamkatalia, maji yameshawafika shingoni sasa aende akagombee ubunge huko Uingereza ndiko wanatoboa masikio. Ndugu zangu haki haiombwi haki inapiganiwa, mwizi ni mwizi tu hata kama angekuwa baba yako, msiwaruhusu kabisa watembee usiku na kuhonga watu au kuiba shahada za kupigia kura.
My take ;Lowasa anamjua Lema alivyo ,kama hamjuwi....fatilia kesi yake ya kupinga matokea ndo utajua picha halisi

SOURCE:
TANZANIA DAIMA 19/03/2012
Lowassa ni zaidi ya umjuavyo.Ni mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa sana ktk jamii hii ya Watanzania. Time will tell.
 
lema ameshaporomoka kisiasa yule hana hata uhakika wakuludi bungeni ndio maana anajitahidi kumalizia kale kanyumba kake pale sanawari
 
chuki binafs juu ya lema hazijengi, kwa taarifa yako sisi watu wa Arusha ndio tunaotambua mchango wake huku ila we mpuuzi ndo unaropoka2.
 
Pia Awaeleze Wameru kwanini alihamua kuteka mradi wa maji baada ya maji yanayotoka chini ya mlima meru kuwanufaisha wameru ambao ndiyo wazawa yeye akayapeleka monduli mpaka leo wameru wanaangaika na maji kinachouma ni kuyaona yakifaidiwa na watu wa monduli.
 
Lakini hata 6 mwenyewe kwenye kanisa moja alikiri kwamba ' namwaminia sana kijana wangu huyu lema. Ni mpambanaji'
 
@mkalama-Matongo, Duh, free M wanaushawishi dunia nzima, hata huyu hatutashangaa.
 
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, alitoa tahadhari kwa mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, akisema kuwa CHADEMA inamsubiri kwa hamu aingie katika uchaguzi wa Arumeru.

“Nataka kumwambia Lowassa kuwa tunamsubiri kwa hamu aingie kwenye hizi kampeni, akikanyanga Arumeru…akikanyaga Arumeru…akikanyaga Arumeru…tunajua kuwa yeye ni Mmeru aliyejibadili na kujiita Mmasai, tunajua madhambi yake mengi tutayafumua yote, tunaomba aje,” alisema Lema na kuongeza:

“Juzi nimesikia kuwa mgombea wao katika kikao cha ndani aliomba kujitoa katika kampeni hizi wakamkatalia, maji yameshawafika shingoni sasa aende akagombee ubunge huko Uingereza ndiko wanatoboa masikio.

Ndugu zangu haki haiombwi haki inapiganiwa, mwizi ni mwizi tu hata kama angekuwa baba yako, msiwaruhusu kabisa watembee usiku na kuhonga watu au kuiba shahada za kupigia kura.

My take ;Lowasa anamjua Lema alivyo ,kama hamjuwi....fatilia kesi yake ya kupinga matokea ndo utajua picha halisi

SOURCE:
TANZANIA DAIMA 19/03/2012
Hapo kwenye RED hizo ndiyo sera au?
 
Lema'z another martin luther king jr

Mkuu, naona umepotoka unafananisha Mlima Kilimanjaro na Mlima Nyashana wa Mwanza..

Martin Luther King jr. alikuwa anapanda juu ya gari huku katanua miguu huku gari linakwenda mwendo kasi wafuasi wake wanashangilia?

Lema, ana uwezo wa kumtisha Lowassa kwa lolote ndani ya Chadema kwenyewe kuna mapandikizi wa Lowassa.
 
ritz at work,msaburi na makameron
 
Lema na Chadema yake wakishinda Arumeru east naomba modi kipindi wanipige BAN jukwaa la siasa milele, hii ni endapo Chama cha Deni na Majungu(CHADEMA) kitashinda.
 
Jf please kuna virangi vya icons watu tuna aleji navyo si muweke rangi za maanaaa lirangi la kijani nani anataka ona kama hako ka online member kamekaa kama rosti tamu la azizi ona na haka
icon14.png
si mnatuchefua sisi wengine wekeni mavitu ya maana bana
 
Back
Top Bottom