Lowasa tuambie juu ya mafuriko ya Tanga

MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
4,009
2,171
Lowasa ulikuwa ofisi ya Waziri Mkuu. Ukaongoza kitengo cha maafa kilichoshughulikia mipangilio ya kuokoa maisha ya wenzetu waliokumbwa na mafuriko huko Tanga. Nchi mbali mbali zilitoa misaada kupitia ofisi zao za ubalozi. Ilikuwa mwaka 1993/94 .

Taarifa zilizagaa kwamba misaada hiyo iliishia kwenye mifuko yako Lowasa. Yasemekana hilo lilikuwa tatizo kubwa lililokuondoa kwenye mchakato wa Urais mwaka 1995.

Tafadhari, Ndg. Lowasa jitokeze hadharani ulisemee jambo hili. Au tueleze nini sababu ya kuondolewa ktk mchakato wa U-rais mwaka 1995. Jisafishe badala ya kuhangaika na michango ya makanisa.

Kama hili siyo kweli basi siyo vibaya pia kwa mashabiki wake kutueleza ni kwa nini bosi wake, Nyerere, akimkataa kata kata kwamba hafai.
 
"anayetaka kuingia ikulu kwa kutumia hela/rushwa............hatufai na tumkatae km ukoma" amezipata wapi kwenye nci masikini km jhii....kumbe richmond na epa zimempa kiburi na jeuli ya kugawa fedha km hana akili nzuri............lowasa katumia sh ngapi mpaka sasa kuusaka urais........ni watz majuha tu watakaompigia chapuo lowasa awe rais.
 
Mimi Edward Ngoyayi Lowassa Waziri Mkuu mstaafu ninacheweza kuwaambia wananchi wa Tanga ni kwamba Mafuriko ya Tanga hayakuletwa na MVUA ZA WACHAWI wa THAILAND nilizoenda kununua huko.
 
Huyu mnunuzi wa mvua unadhani atakua na majibu basi,tumuache apumzike salama na magonjwa yake yasiokuwa na dawa.
 
Lowasa ulikuwa ofisi ya Waziri Mkuu. Ukaongoza kitengo cha maafa kilichoshughulikia mipangilio ya kuokoa maisha ya wenzetu waliokumbwa na mafuriko huko Tanga. Nchi mbali mbali zilitoa misaada kupitia ofisi zao za ubalozi. Ilikuwa mwaka 1993/94 .

Taarifa zilizagaa kwamba misaada hiyo iliishia kwenye mifuko yako Lowasa. Yasemekana hilo lilikuwa tatizo kubwa lililokuondoa kwenye mchakato wa Urais mwaka 1995.

Tafadhari, Ndg. Lowasa jitokeze hadharani ulisemee jambo hili. Au tueleze nini sababu ya kuondolewa ktk mchakato wa U-rais mwaka 1995. Jisafishe badala ya kuhangaika na michango ya makanisa.

Kama hili siyo kweli basi siyo vibaya pia kwa mashabiki wake kutueleza ni kwa nini bosi wake, Nyerere, akimkataa kata kata kwamba hafai.

Jibu ni simple sana ni kwa sababu ni fisadi utajiri wake hauko sahawia na muda aliofanya kazi
 
sitasahau mafuriko haya kama sio baba kunibeba na kupanda na mimi juu ya mti nisingekuwa hai
 
Mimi Edward Ngoyayi Lowassa Waziri Mkuu mstaafu ninacheweza kuwaambia wananchi wa Tanga ni kwamba Mafuriko ya Tanga hayakuletwa na MVUA ZA WACHAWI wa THAILAND nilizoenda kununua huko.

Eeeh!
We kweli umenikumbusha vituko vya viongozi wetu. Ktk ziara hiyo la maana aliloleta toka Thailand ilikuwa ni mvua ya kutengeneza! Alipoondoka maoni yake pia kwa heri! Ni ile falsafa yake ya kuchukuwa maamuzi magumu!

Mwingine naye alikwenda kushangaa ng'ombe wa kilo kadhaa huko Zimabwe, akaambiwa wengine wa uzito huo wako huko kwako, Mfindi.

Mwingine akashangaa ufugaji wa samaki huko Malaysia, akaambiwa mbona hata Tz inawezekana.

Nani yule mwingine tena akaenda kwenye bembea la umeme, akaning'iniya na mkewe.

Eti hao ndo wanatuletea maendeleo.
 
Back
Top Bottom