LOWASA-sitashindwa; SAMWELI SITA-sitakubali

Think

Member
Jul 27, 2012
71
1
ni vita ya kujiandalia mazingira ya urais 2015 viongozi hawa wameanza kujikita ktk vita ya kumtafuta atakae kuwa kiongozi wa vijana taifa uvccm. je ni kweli ktk ktk vita hii lowasa ataangushwa tena na sitta? au sitta hatakubali lowasa ampate kiongozi wake wa uvccm?

mabilion ya pesa yatamwagwa sana huku raia wakiwa hawana huduma bora za afya, je kiongozi atakae patikana uvccm hataweza kuwa fisadi kama kupatikana kwake ni kwa njia haramu?

sita amewai sema kuwa lowasa ni fisadi, je nani mbabe ktk vita ya kumpata kiongozi uvccm? lowasa au sita
 
ni vita ya kujiandalia
mazingira ya urais 2015 viongozi hawa wameanza kujikita ktk vita ya
kumtafuta atakae kuwa kiongozi wa vijana taifa uvccm. je ni kweli ktk
ktk vita hii lowasa ataangushwa tena na sitta? au sitta hatakubali
lowasa ampate kiongozi wake wa uvccm?

mabilion ya pesa yatamwagwa sana huku raia wakiwa hawana huduma bora za
afya, je kiongozi atakae patikana uvccm hataweza kuwa fisadi kama
kupatikana kwake ni kwa njia haramu?

sita amewai sema kuwa lowasa ni fisadi, je nani mbabe ktk vita ya
kumpata kiongozi uvccm? lowasa au sita

Money talks! Au co the 1 with a lot of money is going 2 win.
 
ni vita ya kujiandalia mazingira ya urais 2015 viongozi hawa wameanza kujikita ktk vita ya kumtafuta atakae kuwa kiongozi wa vijana taifa uvccm. je ni kweli ktk ktk vita hii lowasa ataangushwa tena na sitta? au sitta hatakubali lowasa ampate kiongozi wake wa uvccm?

mabilion ya pesa yatamwagwa sana huku raia wakiwa hawana huduma bora za afya, je kiongozi atakae patikana uvccm hataweza kuwa fisadi kama kupatikana kwake ni kwa njia haramu?

sita amewai sema kuwa lowasa ni fisadi, je nani mbabe ktk vita ya kumpata kiongozi uvccm? lowasa au sita

nimejishauri sana kuchangia hii kitu, ila roho inanisuta maana naona kama hainihusu vile!!! ok, anyway, ngoja japo nikunong'oneze tu.

ni hivi mkuu "hakuna jipya kwenye ccm, ni yale yale tu, uozo uozo uozoooo! hawa watu walishakula nyama ya binadamu, kamwe hii dhambi hawataiacha. yaani hii ilishakuwa ndo mfumo wao wa maisha, haramu haramu haramu"
 
Sidhani kama huu uzi utapata contributions za kutosha. Wote wapo msitu mmoja, hata kama ni tumbili na ngedere.
 
sita amewai sema kuwa lowasa ni fisadi, je nani mbabe ktk vita ya kumpata kiongozi uvccm? lowasa au sita
Vita yao itaishia kwa mmoja wao kuwa mgombea urais, 2015.
But That is as far they will go.
Mgombea Urais.
When finally the country will be rescued from their filthy hands,
Back to them Pipooooooooooooooooooooooooooooozzzzzz........................................................
 
Hayatuhusu waacheni hao Vijana wazile hizo pesa wao ndio wanaojua watampa nani, Pia uchaguzi wa Urais ni Mkutano mkuu wa chama husika na hapo ndo jina linaletwa kwenye Tume ya Uchaguzi kupigiwa na sisis wote
 
ni vita ya kujiandalia mazingira ya urais 2015 viongozi hawa wameanza kujikita ktk vita ya kumtafuta atakae kuwa kiongozi wa vijana taifa uvccm. je ni kweli ktk ktk vita hii lowasa ataangushwa tena na sitta? au sitta hatakubali lowasa ampate kiongozi wake wa uvccm?

mabilion ya pesa yatamwagwa sana huku raia wakiwa hawana huduma bora za afya, je kiongozi atakae patikana uvccm hataweza kuwa fisadi kama kupatikana kwake ni kwa njia haramu?

sita amewai sema kuwa lowasa ni fisadi, je nani mbabe ktk vita ya kumpata kiongozi uvccm? lowasa au sita
kwa hiyo bado nawe una imani kuwa atakayepitishwa kuwa mgombea wa ccm ndo kashashinda??
shame on u.... wacha wamwage pesa ila c lazima wawe marais
 
kupata cheo ccm ni sharti utumie pesa na mfumo wao ndiyo ulivyo.tuwaachie wao wenye chama
 
Back
Top Bottom