Elections 2010 Lowasa na chanel 10

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
Sasa naona ameamua kununua air time chanel ten ili kujitangaza kitaifa kama bado yupo,ni aibu kwa kituo cha habari kirudia habari moja kwa siku mbili mfululizo,na kikubwa ya tukio linalofanana,na kumpa muda mwingi mtu mmoja,badilikeni chanel ten na zingatieni maadili ya kazi yenu ya utangazaji
 
Hujui bado kwamba Channel Ten ni ya mafisadi: RA+Tanil Somaya. Kwa kuwa RA yumo, basi JK na EL wamo pia. Iko siku nguvu za wananchi watanyamazisha hujuma zote hizi dhidi yao.
 
Back
Top Bottom