LOWASA, MKAPA walivyounguruma leo Arumeru mashariki

Labda rais ajaye wa waizi.
Lowassa will never become the head of my beloved country
kutokana na Avatar yako labda itawezekana. lakini uwe makini, maana nasikikia kupewa kamati ya ulinzi na usalama ilikuwa ni katika kuhakikisha anawadhibiti ninyi wenye misimamo ya pinga na tokomeza ufisadi.
 
Hawa wazee hawana jipya.Hivi wanafikiri Mtanzania wa leo ni yule wa miaka 30 iliyopita?Kitendo cha viongozi hawa walioshika nyadhifa kubwa serikalini kujihusisha katika kampeni Arumeru ni kujishusha.Huyu Mkapa aliuza nchi hii kwa wawekezaji.Ameuza migodi yetu yote.Kwa upumbavu wa wana CCM wanamtukia apige kampeni.Mkapa inabidi apelekwe katika Mahakama ya Kimataifa '' The Hague'' akajibu tuhuma za ufisadi na madhambi mengine aliyofanya alipokuwa rais.Aachane na mambo ya kupanda majukwaani na kuongea upuuzi.Na huyu Lowasa amechangia kwa kiasi kikubwa tabu za wananchi wa Tanzania.Hivi haoni aibu kupanda jukwaani na kuongea ujinga?
 
kauli mbiu mpya?
[video=youtube_share;xhjb5VjrsDw]http://youtu.be/xhjb5VjrsDw[/video]
 
Edo ananifuraisha sana Afya yake yenyewe inaonyesha mgogoro, alafu anatoa aadi bila kusema atafanikishaje!!! Uyu jamaa anadhani Wameru wajinga ivyo, nimeskiliza iyo clips toka mwanzo mpaka mwisho ajasema CCM Oyeeeeee!! inaonekana ata yeye amechoka na icho chama.
 
Alafu inaoneka Edo anatembelea apa JF nimeangalia sana ni kama anajibu tuuma zinazotolewa apa juu yake.
 
wanaopiga makofi ni wale makuadi wa mbele hasa yule aliyevaa t-shirt ambaye ya fine and fit ambaye anaonekana kama
ni mtu anayeelewa lakini njaa kali
 
Edo ananifuraisha sana Afya yake yenyewe inaonyesha mgogoro, alafu anatoa aadi bila kusema atafanikishaje!!! Uyu jamaa anadhani Wameru wajinga ivyo, nimeskiliza iyo clips toka mwanzo mpaka mwisho ajasema CCM Oyeeeeee!! inaonekana ata yeye amechoka na icho chama.

hata lowassa mwenyewe ukimuangalia vizuri utamuona haamini kama hao watu anaowaubiria wanahamini anayoyasema.
 
Benny aliamrisha ndugu zetu wakauwawa kule Zanzibar! Anastahili kufikishwa the Hague
Aliiuza mererani kwa wazungu, viwanja na mashamba ya Arusha yaliuzwa kipindi chake
Alifumba macho pale waziri wake mkuu alipohamisha wanakijiji kule morogoro na kujimilikisha ardi yao.
 
Back
Top Bottom