LOWASA, MKAPA walivyounguruma leo Arumeru mashariki

[h=6]Walisema hataongea, ooh mara akija azomewe! hatimaye mwanasiasa maharufu pengine kuliko wote kwasasa nchini mheshimiwa EDWARD LOWASA leo amehutubia maelfu ya wapiga kura huko ARUMERU! kwa mujibu wa mashuhuda wetu umati wa watu uliojitokeza haujawahi kutokea katika historia ya eneo hilo! pamoja na CDM kumchafua sana LOWASA leo ameshangiliwa sana na wananchi kuwa watulivu kumsikiliza na kupiga makofi ya pongezi pale alipogusia hoja za msingi na alimnadi mgombea wa CCM mh SIOI SUMARI, kuwaambia wananchi wampe kura SIOI na yeye atakuwa ataongozana nae hadi kwa waziri wa ARDHI kumaliza matatizo ya ardhi Arumeru! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI! HONGERA MH LOWASA KWA KUWAONYESHA KUWA UKO FIT KUPAMBANA[/h]

Nasema wewe ni
KENGE..
Unayechukia demokrasia ni
KENGE..
Unayepotosha uma ni
KENGE..
Unayewafagilia mafisadi ni
KENGE..
Unayeichukia CDM ni
KENGE..
Unayeshadadia kampeni zenye matusi like mipasho ya Lusinde ni
KENGE..
Wanaotumwa na Magamba kuleta ***** ktk JAMVI LETU ni
KENGE...
Na wewe mleta mada hii ni
KENGE...KENGE..KENGE
Kwani uko ktk msafara wa Mamba hivyo wewe KENGE hukosi..
 
Wameru wanasema kwanza El ajitangaze kuwa mkwe mana hawamjui fisadi huyo,chakula cha ukwe kimeliwa mbezi mbichi,IVI KUMBE MAMAKE SIOI NI MKENYA BWANA,.MBUZI KTK KIROBA
 
Mzee wa watu kadanganywa, eti mzee we twende tu, kwa Wameru we ni kama Mungu! Ona sasa yaliyomkuta!
 
Sera upumba, wamechukuliwa pia vijana wengi tu maeneo ya A-town haswa krokoni, makao mapya kujaza mikutana yao ambayo haina watu kabisa, kiukweli watu wanalipwa posho waende mkutano wa magamba, upuuzi mtupuuu
 
Jinsi ambavyo simpendi huyu fisadi wangemponda na mawe ccm walishatuibia sana alafu kila siku wanakuja gia zao za kuturubuni yani inauma sana

Hilo halina shida,makamanda wameombwa kuwa watulivu hasa ktk kipindi hiki,na jumapili WATAMUADHIBU EDO NA MKWEWE KIPIGO CHA MBWA MWIZI.
 
Labda rais ajaye wa waizi.
Lowassa will never become the head of my beloved country

Narudia tena, tanzania chini ya CCM yote ambayo hayawezekani kokote duniani, hapayanawezekana, usichangae lowasa kuwa head of your beloved country 2015, unless we take important meansure to eradicate our forth enermy in the country CCM.
 
Lowasa amemnadi SIOI kwa kusema atamaliza matatizo ya maji na ardhi.

Mkapa amewaponda wapinzani kuwa hawana lolote na hawataleta maendeleo

yoyote Arumeru.

SOURCE: ITV habari


My take: ushindi kwa CCM uko wazi aiseeeeee!

Yaan kwa huo ***** ndiyo apewe ubunge?
 
jaman kwa aliyekuwepo kwenye kampeni za leo ambako lowasa alikuwa ana mwaga sera atujuze kuhusu huyu mzee kuzomewa na wana arumeru, hata kama kuna picha mtuwekeeni hapa tuone ambao tuko mbali na arusha uko

Sio EL pekee ndiye alizomewa. Baada ya mkutano wa Patandi kumalizika ambapo Mh EL hakuhutubia bali alitoa salaamu tu, wakati msafara wa magari ya kifahari ya Land Cruiser VX V8 yaliyowabeba Mkapa, E.L, Nnape, Sophia Simba, Wassira, Mukama na wabunge wengine wa CCM wakiondoka eneo la mkutano kuelekea Usa River ndipo kundi kubwa la watu kuliko wale waliohudhuria mkutano wa kampeni lilipowasubiri katika makutano ya barabara ya Arusha - Moshi na kuanza kuwazomea huku wakiimba mafisadi, mafisadi mafisadi,.....

Utitiri wa wanausalama waliokuwepo hawakuwa na kufanya kwani umati ulikuwa ni mkubwa sana. Kilichotokea baada ya hapo ni magari hayo kuongeza spidi kuelekea Usa River!!!!

Huo ndiyo ukweli kuhusu kilichotokea leo ktk kampeni za leo za CCM huko Patandi.

Source: Nilikuwepo hapo mwenyewe na nilijionea kwa macho yangu!
 
By cZg: mh! Jama tucwafumbue macho wasiona afu tuwaache bila ushaur wa waisha mapya! Kwan kukubalika/kutokubalika kunawasaidia vp wana Arumeru?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom