Lowasa huwa anaalikwa au anajipeleka tu kwenye matukio kama haya?

Hivi nawe mtuma post unafikiria kweli,kuna mtu huwa anaalikwa katika msiba??au tunashindwa vya kuongea.Tusiwaandame tu watu hata katika mambo ya kijamii kama haya!Kwa zaidi ninachojua ni kuwa marehemu sumari na lowasa watoto wao wameoana hivyo ni ukweni hapo


Bila post hii kuwapo hapa tusingejua kama familia hizi mbili zimechanjiana damu kujenga ukoo, leo ndio nimefahamua hawa waliwakutanisha watoto wao kuwa familia na pale ndiye mwendesha maombolezo.
 
sm3.jpg


Rais Kikwete akiwa na viongozi mbali mbali nyumbani kwa marehemu mbunge Sumari leo ,kutoka kulia ni spika wa bunge Anne Makinda ,mbunge wa Monduli Edward Lowassa na ndugu wa karibu na marehemu Sumari anayeteta na Rais
hii ni picha kwanza kuina inayo husu msiba SUMARI
 
Tatizo letu huwa tunakurupuka tu kuweka post.

Nadhani msukumo wa kuweka post hii ni kutaka kujua na bahati nzuri wanajamii ni weledi wa mengi na si haba katika kutujuza wengine tusiyoyajua. Kutokana na michango mingi hapa nimepata kunufaika na comments nyingi.
 
Back
Top Bottom