Lowasa amzidi JK maadhimisho ya maulid, ahudhuria jk akwepa

Hivi hizi pete zinazovaliwa mkono wa kulia (naona hii ya EL ni kama zile za uchumba wavaazo kina dada!) zina maana gani? Urembo, dawa, kinga ama ni nini?

2+(1).jpg
 
Wadini wote wanaumizwa na matendo ya ma CCM maana kila siku wanalia kwamba Chadema sasa wao wanafukuzana makanisani na misikitikini .Halafu nani kasema kuvaa kwa Mbowe means uislam ? Mbona waislam wanavaa suti na si wakristo ? Hilo ni vazi tu la kiarabu ambao ni waislam haina maana kwamba ni Waislam no way .
 
acha kumshirikisha mungu kwa mambo yasiyo na mantiki kuwa na hofu hasa utajapo hilo jina Takatifu, Joshua ktabiri kuwa atakuwa raisi isikufanye ukaona ni mpango wa mungu. laiti kama ungefuatilia umjue Joshua wa Emanuel Chanel ni nani haswa usingethubutu kusema uliyosema. kama unampigia debe EL basi piga debe bila kumhusisha MUNGU. uwe na hofu kwa aliyekuumba.
 
Hivi hizi pete zinazovaliwa mkono wa kulia (naona hii ya EL ni kama zile za uchumba wavaazo kina dada!) zina maana gani? Urembo, dawa, kinga ama ni nini?

nadhani urembo.. wa kristo za ndoa zinakaa mkono wa kushoto..mbona bangili ya mwinyi huulizi? :shock:..lol
 
Inapendeza sana kuona mashehe, Ghalib, Freeman, Lowasai , zitto etc wakiwa pamoja....more over all are Tanzanian.
 
nadhani urembo.. wa kristo za ndoa zinakaa mkono wa kushoto..mbona bangili ya mwinyi huulizi? :shock:..lol
Lolz...itakuwa 'urembo' lakini mbona 'hawapendezi'? Hiyo bangili ya AHM mbona siioni...kwa mbali naona saa ya rangi ya gold mkono wa kushoto! Ameiva sehemu gani?
 
Kwa nini anadhani anafaa, anaweza, anastahili kuwa RAIS wetu? Moyo haumsuti kwa aliokwisha lifanyia TAIFA hili?
 
Lolz...itakuwa 'urembo' lakini mbona 'hawapendezi'? Hiyo bangili ya AHM mbona siioni...kwa mbali naona saa ya rangi ya gold mkono wa kushoto! Ameiva sehemu gani?

lol..nilidhani ni bangili.. kumbe kitu cha gold. big ups...
 
ndo maana nasema unarukia mkumbo, ungekua una analyse story. izo process hufanyika na yeyote hata serikali ya tanzania ikitaka kitu uingereza. nadhani huyo fred aliongea akasema kuwa ni kweli alifanya transfer lakini ya biashara zake, hakununua kitu. na iyo ruhusa nadhani anayo kama sisi watanzania wengine.na iyo story mwisho imesema sababu zake..sidhani kama unaweza kumuhusisha mtu na biashara zake.

swali hujajibu ndugu, izo mali za london ziko wapi za mhe.lowassa?
Basi ndugu yangu kama bado unatetea hiyo habari, basi mimi sina la zaidi kukueleza kuwa hizo ni Acct za Mheshimiwa Lowasa hasa ndizo zilifanya transactions na bado unabisha, wewe ni mhumini wa kweli kweli wa huyu Lowasa!!! Hivi kweli serikali ingekuwa kama hiyo YA England huyo boss wako si angelitueleza ni biashara zipi anafanya na huyo Fred capital amepata wapi???????? Wacha kushabikia ufisadi kwa kuwa una serikali isiyojali unaona unapeta tuu !!! At the end of the day wanaoibiwa ni mama zako shangazi watoto the whole country of TZ wewe unashabikia tuu!!!!!!!

sishabikii tu. kama msomi naongea nnayo yaona na ukweli uliopo. fanya kazi na wewe upate kama waliopata. kwani lowassa alizaliwa ivyo? mi naamini kwa nilipofikia, natembea kifua mbele tu.ntaendelea kujali nchi yangu na kuwajali watanzania wenzangu. huyo fred alikua anafanya biashara tokea 98 kama sio 99 za simu, sijui kama bado anafanya, nakumbuka alitambulishwa na huyu mzee lowassa. na hiyo nadhani inaruhusiwa.. biashara kama alikua nayo na anauwezo wa kutrade nnje, inshallah mungu aendelee kumbariki.

mi naamini sisi watanzania tulio wengi, ni wasomi na tunaelewa zaidi ya huyu mzee na family yake. ni kukaza buti na kufanya kazi uzidi kufanikiwa zaidi. mi nachojali ni kumuheshimu tu huyu mzee, kwani nimengi amefanya na sio hayo uyaaminio wewe. fikiria kdogo, sio kukurupuka tu kwa uchochezi..katika top 20 ya matajiri tanzania, huyo mzee wala hayupo. kuna washika jembe wengi, umaarufu wake kwenye utendaji zaidi.
kubali tu ndugu..
 
Wewe unajuaje kama mimi sina chochote kitu, ila huyu jamaa ni mwizi kazi kwisha kampuni alizo na zo kadhulumu za EAC ya zamani kama Jumuiya Tours sasa ni kampuni fulani Arusha yote inajua, wewe ulionyeshwa mijumba bado tu huamini!!! Unadhani kwa nini Marehumu Nyerere alisema kuwa ni mwizi, huyo ana covert scandals kibao zilizojificha, but I tell u my friend at the end of the day kila kilicho gizani kitajulikana nuruni!!! Hizo ni dhuluma kwa vizazi vyetu, na wewe kama una mali za ufisadi na wizi ukijidai unatumia akili unaishi maisha yaliyo laaniwa, ole wako wewe na familia yako, pole sana, nakuonea huruma!!!!

2+%281%29.jpg

Kama anakwenda kwenye shughuli za waislam ambao anataka kura zao halafu anashindwa kuvaa vazi kama kanzu hivi huyu kweli anania nzuri na waislam?

Kwa nini avae kihuni kwenye shughuli nzito kama hii?

sasa tazama mwenzie Freema, ikifika ijumaa anavaa hivi:

Na huyo nyuma kati kati ya Bilal na Lowasa amevaaje?

na hakuwa na udhu!!! walimwosha miguu tu ...
Na wewe nae uliambiwa wapi mtu akienda kwenye Maulid anatakiwa awe na udhu ! au unataka kuchokoa watu ! " choko choko mchokoe pweza Bin Adam hutamweza nakwambia"
 
Back
Top Bottom