mnyamangeso
Member
- Jun 27, 2010
- 33
- 1
habari zenu. naomba mnisaidie maana kwa mara kadhaa pc yangu yenye os ya win xp inaniambia low disk space kwenye drive partion yenye windows files yenye ukubwa wa 48gb...inanishangaza maana nimejaribu kufuta all user files and leaving system files alone but the notification is still there. nimechoka kuformat pc kila saa...is there a tool i can use to free up the hidden space? na pia naomba kuelimiswa kama hii ni moja ya matokeo ya virus wakiinfect pc au ni nini?