Love vs Sex

KKN...
1. Nikuulize upo ktk DINi Gani? nakuuliza hivi kwasababu wengi wanaokwenda NJE ya NDOA HAWANA KHOFU ya ADHABU BAADA YA KIFO.

2. UISLAM kama mfumo kamili wa Maisha ya Mwanadamu umetoa RUHUSA iliyofungamana na UADILIFU ya kuoa mke zaid ya MMOJA. Mzungu au mwanadam anapotengeneza mashine huwa anatengeneza na USER GUIDE/MANUALs, ukienda kinyume na manuals ni kukiharibu chombo.
M/Mungu muumba wa M/damu ndie ajue Functions za Viungo vya mwanadamu. Ungekuwa Muislam ungeruhusiwa kuoa mke mwingine. Pia Ukifanya KOSA la KUTOKE NJE ya NDOA wakati umeoa ni KOSA la JINAI linalohitaji Upigwe mawe hadi UFE.

3. Wengi wetu Hatujui Lengo la NDOA. Wale wanaofikiri SEX its wrong. Marriage is a responsibilities. hapa unajenga Familia...unapokwenda Nje ya NDOA watoto watakaopatikana HUKO watakosa HAKI nyingi, moja URITHI, pili NASABA pia watoto wanaozaliwe NJE ya NDOA wanakuwa WANYONGE.

4. Kwa Utaratibu wako wa Kwenda NJE ya NDOA..unaonaje mtu akatambea na MAMA YAKO... UKIZINI NA DADA NA MAMA ZA WATU UJUE WATU NAO WATAZINI NA MKEO< MAMA YAKO< NA DADA ZAKO? JE utajisikiaje?

Kingene punguza kula au Funga mchana hii iko proved hupunguza matamanio yako....

Sorry Chuma, I dont do religions, hizi dini zinakataza vitu vyote 'vitamu' hapa duniani. Nitaishije bila kupiga mtungi? eti hata nisiende kujirusha kiwanja? Kwa ndugu zangu waislamu, kutokula kiti moto, you dont know what you are missing out. Im enjoying my life, im sure kama ningekua sifanyi haya nifanyayo sasa I would be so sad, my life would be so sh.t and miserable, cammon guys- you only live once- why shouldnt I do it at its fullest?
 
Huu mjadala nimeufatilia na nachoweza kusema, umenifungua macho sana. Nimepata kujua tabia za baadhi ya wanaume, thanks kana kwa kuwa muwazi. Ila nafikiri you are so unfair to your wife.
There is 90% chance kwamba partner wako ulie nae sasa ana tabia kama zangu dada Judy lakini hujui tu coz yuko smart. Ndoa sio ngono tu jamani, haka ni kajipart tu ambako naona mke wangu amekua mbovu kwenye utendaji kwa sababu ambazo nimezitaja lakini kwa kuwa nina other alternatives- its not a problem, we still love each other and life goes on.
 
Originally, huwa siwaamini wanaume, i might be wrong but i think most of the men wana tabia kama yako na hiyo inanifanya nisishangae sana hata nikisikia mume wangu ana affair. kinachoniudhi ni unaposema utendaji wa mkeo ndo unakusukuma kufanya hayo kisa kanenepa, kazaa, anafanya kazi anachoka. thats so ungreatful of you, pia hata kama asingezaa na kuongezeka mwili bado ungecheat tu, hivyo hizo si reason za ukweli, ni hulka yako. so we cheat but please usimlaumu kuwa yeye ndo kapunguza utendaji. you never know hata wewe unaweza kuwa unam bore to death, but sisi wanawake ni wavumilivu. pia si kweli kwamba you dont see a problem, there is a problem and you know it, thats why we are even discussing this.
 
KANA...
Ni vigumu kuanza kukuambia zinaa uache wakati huna intrinsic force ya kukukataza kuacha. Wapo wale wanaoacha kwa kuogopa Ukimwi na wapo wale wanaoacha kwa kujua YUPO MUUMBA wa MBingu na ARDHI...
Kwasasa ninachoweza kukupa ni kuwa rudi uamini kuwa M/Mungu yupo. Ikiwa wewe mwenyewe hujazuka, ila ulikuja ktk DUNIA ktk utaratibu maalum..tone la manii, damu, nyama then mifupa then FULL Umbile..hio si kwa bahati mbaya. Leo hii unaamka unakuta Jua linatokeza mashariki then huzama maghribi..kma unafikir there are other God than MUUMBA M/Mungu basi mwambie alete JUA maghribi then lizame mashariki..if not waite wale unaowaamini wanasayansi wakae vikao na waliamrishe Jua llichomoze Maghribi...

Back...nilikuuliza hivi akija mtu KUMZINI MAMA YAKO MZAZI utajisikiaje?
 
duh ilo ni bonge la mistake umefanya! naamini ata kama alikuwa ni muaminifu katika ndoa na vile ulimwambia kama umejig for fun sasa umemfungulia milango na yeye afanye the same.kwa sasa mkeo hata ona kama kuna jipya na yeye akijiburudisha for fun nje ya ndoaq na jioni mkionana akupokee kwa tabasamu na mabusu kimtaindo pasina wewe kujua. nakushauri umwombe mkeo msamaha na ukiri au ujiaminishe kama hilo lilikuwa ni kosa lako la kwanza na hautakaa urudie, akiwekaakilini kama huwo ndo mchezo wako umeumia bro, na kwa tabia za hawa wadada zetu haswa walio olewa hawaoni atari kwenda kavu, akinasa sianakuatachia. hongera sana kwa kushindwa kuwa muongo lakini kum,buka uongo katika mapenzi unasaidaia kwa sana
 
Tehe, tehe, tehe, Kithuku you are married to avery smart man, kama mumeo anakucheat you will always be the last to know, tena kama mnaishi majuu ambako hamna umbea ndio basi!! You cant rule anything out, unaonekana unaishi kwa matumaini tu which is a good thing. Dont get me wrong pse, I still love my wife, and Im confident- sleeping with other women will never change this forever.So unadhani mumeo alikupenda tu bila kukutamani?hadi akaamua kukuoa? ridiculous! You must be ugly kama ni kweli na labda alikuoa tu just for the sake of it.

I would like to draw your attention to the fact that I am a MAN, a VERY STRAIGHT man. I hope this tells you what your address to me amounts to. I demand an apology for this.
 
Niko kwenye ndoa tangu 1994, tuna watoto wanne, na hatuna shida hizo ulizoandika hapa. Tuna tabu zetu nyingine ndogondogo ambazo wala hata hatumsimulii mtu, tunazimaliza zinavyotokea, zinazotushinda tunakaa nazo. Nahisi ulioa mwanamke uliyekuwa ukimtamani sana (ndio maana unazungumzia alikuwa "modo" nk), lakini hukumpenda. Ulimtamani tu.

No apology- sorry, you sounded like a woman here. Mwanaume rijali hawezi ongea namna hii.
 
No apology- sorry, you sounded like a woman here. Mwanaume rijali hawezi ongea namna hii.

kithuku huyu mtu hashauriki. Mtu mstaarabu utamjua tu first haogopi kuask for apology. Pili hajeset mind yake kubadilika anasanifu majibu yetu. Ndugu Kana you know kabisa deep down your heart you are damn guilty (only you cant admit) hii ndio concience ambayo Mungu alituwekea, no matter how sweet the sin may be, always our concience disturbs, we may fake it, please ourselves with all sorts of excuses but nothing outweighs the Guilt in concience. The fact remains YOU DONT LOVE YOUR WIFE. And neither do you love youself ( cause your wife is part of you) and remember to TREAT S YOU LIKE TO BE TREATED. Haya si mahubiri bali ni clear facts amabzo nimeziona, nimeziexperience in society. Tatizo tupo tayari kukupa ushauri mwingi But do you have the Zeal and Will ya kubadilika?
Sit dowm and focus whats your main pirpose in marriage life?
Why is it important for you to have a wife
Whats your role as a husband?
Whats your wife role?
Whats God purpose on marriage?

if you can answer this then we can move to the next step.
Enjoy your day.
 
Mimi naona sieleweki kabisa kwa wengi wenu. Nimeshasema mambo ya dini haya exist kabisa kwangu, why do you keep on mentioning the word GOD and SIN? They dont apply to me. May be a time will come, I will look back and say " Hey, I have had a wicked life, its time for me to settle down with my wife and kids" but im not ready for that now, Im enjoying what im doing so why should I feel guilty? Nimeshasema kwamba if I wasnt doing what im doing now labda ndoa yangu ingekua imeshavunjika, hao vicheche wa nje wananisaidia kuitunza ndoa yangu na kumpunguzia 'kero za usiku' mama watoto, we have only got to concentrate on raising up our lovely kids and our jobs.Its not a problem at all, why call it a problem while I have alredy got a solution for it?
 
if there is no problem, what made you ask for our opinion? you wanted us to clap 4u and justfy what you are doing? no way, the truth always prevail. It hurts me to hear you say you only concentate on raising you kids and your job, thats vey bad for any marriage, ninamhurumia huyo mwanamke mwenzangu, whats the purpose ya wewe kusema vicheche wanakusaidia kutunza ndoa yako, what for? Unatunza ndoa gani hapo sasa, so far i dont see it according to your maelezo. Enjoy it while it lasts, but like it or not God is there and he hate what you are doing.
 
Hebu nikupatie basi expert opinion kuhusu suala hili......

Why Infidelity Happened In The First Place?

Here is an eye-opening fact that Oprah had me repeat 3 times when I was backstage on her show. It really does explain the "Why" of marital infidelity.

A man falls in love because of the way he feels about himself when he is with a woman. When he doesn't feel good anymore he's going to find another woman who does make him feel good. That's what an affair is all about. It's not that he's in love with the other woman. What he's really in love with is the way he feels about himself when he's with the other woman. A woman feels the same way. Do you know how many times a woman will say to me, "Dr. Ellen, now that I'm in love, I feel beautiful, I feel sexy, I feel special and needed." We have a right to feel like that for the rest of our lives, and when we don't, we try to find someone else who will make us feel good.

I was doing a radio show in Texas and a man called up and said, "I don't believe this. I dropped a hamburger in my lap. I went to a pay phone and just had to call you up to tell you that what you're saying is so true. For three years I have been having an affair and I couldn't put into words why! My wife is pretty, she's intelligent and she's the pillar of the community. But the truth is that I feel like &#8216;nothing' when I'm with my wife and I feel like a &#8216;king' when I'm with this other woman."

I spoke to a woman who had been married for 9 years and started to have feelings for someone she worked with. She said, "My husband is successful, smart, good-looking but the other guy makes me feel beautiful and special."

Many people think that if they were better-looking or had more money, then things would be different. It's not about getting thinner, better looking or making more money. Some of the wealthiest people in the world are by themselves; some of the most beautiful
people on earth are lonely. This is about how another human being feels about themselves when they're with you. So, it isn't about me, but how does my husband feel about himself every time he's with me. And, it isn't about my husband, but how do I feel about myself when I'm with him. If we both make each other feel so good about who we are, why would we ever want to be with anyone else?

We have the ability to make another human being feel that they are important, special, attractive, sexy, intelligent, funny, wanted and needed. That's what a loving marriage is all about and that's the lesson that needs to be learned. If you do, your spouse will never
again want to be with anyone but you!
AddThis Social Bookmarking Widget

Dr. Ellen Kreidman is a highly acclaimed relationship expert and the author of the best-selling programs, Light His Fire and Light Her Fire. For an effective way to deal with infidelity without marriage counseling, visit. www.LightYourFire.com.

Mliopo kwenye ndoa zenu nisijewapa heart attacks bure,nimeona bora niwatafutie dawa ya kinga kabla mambo yenu hayajawa kama yangu. If you are already into into, be more smart and try to avoid being caught out and keep enjoying. I guess nilishtukiwa kwa kuwa my wife ali notice one or two of these clues, I hope zitakuwa helpful kwenye ndoa zenu pia.....

46 Clues Your Partner is Having an Affair

Some of these signs of a cheating spouse are a bit "tongue in cheek" while others are tell tale signs that commonly appear with a cheating husband or cheating wife. Do any of these ring a warning bell?

1) You find birth-control pills in her medicine cabinet, and you've had a vasectomy.

2) Mutual friends start acting strangely toward you. (They either know about the cheating or have been told stories about what a horrible wife or girlfriend you are.)

3) Your cheating husband or wife stops confiding in you and seeking advice from you.

4) Sets up a new e-mail account and doesn't tell you about it.

5) He leaves the house in the morning smelling like Irish Spring and returns in the evening smelling like Safeguard.

6) She joins the gym and begins a rigorous workout program.

7) She buys a cell phone and doesn't let you know.

8) He sets up a separate cell phone account that is billed to his office.

9) The cheating husband carries condoms, and you are on the pill.

10) Begins to delete all incoming phone calls from the caller ID.

11) Deletes all incoming e-mails when they used to accumulate.

12) He becomes "accusatory," asking if you are being true to him, usually out of guilt.

13) Raises hypothetical questions such as, "Do you think it's possible to love more than one person at a time?"

14) He buys himself new underwear.

15) He insists the child seat, toys, etc., are kept out of his car.

16) The cheating wife stops wearing her wedding ring.

17) Has a sudden desire to be helpful with the laundry.

18) Has unexplained scratches or bruises on his or her neck or back.

19) Suddenly wants to try new love techniques.

20) He/she fairly suddenly stops having sex with you.

21) He/she suddenly wants more sex, more often.

22) Supposedly works a lot of overtime, but it never shows up on the pay stub.

23) Picks fights in order to stomp out of the house.

24) You find out by accident he or she took vacation day or personal time off from work - but supposedly worked on those days.

25) Shows a sudden interest in a different type of music.

26) Spouse's co-workers are uncomfortable in your presence.

27) Has a sudden preoccupation with his or her appearance.

28) Spends an excessive amount of time on the computer, especially after you have gone to bed.

29) He throws up a lot because he just ate at his mistress's house and had to eat the dinner you prepared when he got home.

30) Your spouse is away from home, either nights or on trips, more than previously.

31) His/her clothes smell of an unfamiliar perfume or after-shave. You see lipstick on your husband's shirt.

32) The amount of money being deposited into your checking account drops off.

33) You find items of intimate apparel or other small gift-type items that you did not give your spouse.

34) Your spouse seems less comfortable around you and is "touchy" and easily moved to anger.

35) You get calls where the caller hangs up when he or she hears your voice.

36) He/she loses attention in the activities in the home.

37) Your intuition (gut feeling) tells you that something is not right.

38) He/she has a definite change in attitude towards everyone in the home.

39) She uses a low voice or whisper on the phone or hangs up quickly.

40) She has a "glow" about her.

41) Atypical erratic behavior.

42) He sneaks out of the house.

43) She sleeps with her purse by the bed.

44) She goes to the store for groceries and comes home 5 hours later.

45) He tells you that you can get hold of him at a different telephone number.

46) The telltale sign of a cheating spouse? Having to ask that question in the first place.

Dr. Robert Huizenga, The Infidelity Coach, has helped hundreds of couples over the past two decades heal from the agony of extramarital affairs and survive infidelity. Visit his website at: http://www.break-free-from-the-affair.com
 
if there is no problem, what made you ask for our opinion? you wanted us to clap 4u and justfy what you are doing? no way, the truth always prevail. It hurts me to hear you say you only concentate on raising you kids and your job, thats vey bad for any marriage, ninamhurumia huyo mwanamke mwenzangu, whats the purpose ya wewe kusema vicheche wanakusaidia kutunza ndoa yako, what for? Unatunza ndoa gani hapo sasa, so far i dont see it according to your maelezo. Enjoy it while it lasts, but like it or not God is there and he hate what you are doing.

Juddy you are one of very many people who think marriage is all about sex! Its more than that. Hii thread sikuileta hapa kutafuta ushauri wa namna ya kudumisha ndoa yangu- I know how to do it!,purpose ilikua ni kuonyesha kwamba SEX is different from LOVE. I have sex with other women, I make love to my wife and having sex with other women doesnt change my love for my wife- END.
 
This is wicked!...
KK kusema kwamba having sex doesn't realy comprise love is a lame excuse and a green light to all greedy fellows to go for the other women/men they had wished to have sex with!!!
Why is it hard for us to think and behave morally!!
if u think its cool ebu fikiria what u do with other women kiwe kinafanyika kwa mkeo...... i know u wont even imagine!!!....
 
Mussa- you dont have to practise what I preach. Kwa mke wangu akiamua kufanya (Im not sure if she is doing it or not!)- Its fine, as long as I dont find out!
Nawapenda waingereza jinsi walivyo open kuhusu sex, its never a big deal. Umewahi kuskia kuhusu threesome weye? Wewe na mkeo eti just for fun, mnamualiaka mshkaji kwenu( mke au mume) aje kuwajoin kwenye kamchezo! Game ikiisha- thank you very much, see you, bye and life goes on as normal!Why cany we be like them?
 
"Mussa- you dont have to practise what I preach. Kwa mke wangu akiamua kufanya (Im not sure if she is doing it or not!)- Its fine, as long as I dont find out!"
What will u do when u finaly find out that she is actually doing that???
KK hapa bado mm sijaweza kukubaliana na mahubiri yako.... be it 3some, 4some or anything but still in marriage we have to be moral in what we do!! usiamini sana mambo ya wazungu KK amini ktk ubinadamu wa kawaida.....
 
Cheating iko kote toka zama za mababu! Kuna ufafiti umefanyika Norway, Sweden na Denmark- 2006 over 50&#37; of couples reported to have cheated! Tanzania ni kawaida tu- ukiona mama amepandishwa cheo au anapata safari nyingi zaidi za nje na mikoani au ana alowance kubwa zaidi- tambua tu bosi amempenda na bosi pia anafaidi!
Muhimu ni muhimu kuongea wazi juu ya haya mambo- na kutumia condom- kama unajua umaedanyanga- na hujatumia condom basi usimpe mwenzako penzi! Nenda kwanza ukapime!

mke au mme wa kuiba ni mtamu sana- ila kinga mbele!

This is misleading! Shule za nguvu tunazo!Vyeo tunavyo...safari tunakwenda, na HATUJAWAHI WALA HATUTAWAHI KUTEMBEA NA MABOSI!
Please do not corrupt our husbands mind!KWA WANAWAKE WOTE MNAOSOMA HUMU HAKUNA MTU YEYOTE ATAKAYEKULAZIMISHA KUFANYA KITU CHOCHOTE...WEWE MWENYEWE NDIYE UTAKAYE TOA CONSENT.
 
very interesting debate,ndg yangu kana kansungu try to be innovative ili msichokane ktk ndo na dawa c kubalisha mabucha wakat nyama ni ile ile,mkianza mwisho wake ni majuto na hatar kwa familia,huo ni muono wangu.
 
Mliopo kwenye ndoa zenu nisijewapa heart attacks bure,nimeona bora niwatafutie dawa ya kinga kabla mambo yenu hayajawa kama yangu. If you are already into into, be more smart and try to avoid being caught out and keep enjoying. I guess nilishtukiwa kwa kuwa my wife ali notice one or two of these clues, I hope zitakuwa helpful kwenye ndoa zenu pia.....

46 Clues Your Partner is Having an Affair

Some of these signs of a cheating spouse are a bit “tongue in cheek” while others are tell tale signs that commonly appear with a cheating husband or cheating wife. Do any of these ring a warning bell?

1) You find birth-control pills in her medicine cabinet, and you’ve had a vasectomy.

2) Mutual friends start acting strangely toward you. (They either know about the cheating or have been told stories about what a horrible wife or girlfriend you are.)

3) Your cheating husband or wife stops confiding in you and seeking advice from you.

4) Sets up a new e-mail account and doesn’t tell you about it.

5) He leaves the house in the morning smelling like Irish Spring and returns in the evening smelling like Safeguard.

6) She joins the gym and begins a rigorous workout program.

7) She buys a cell phone and doesn’t let you know.

8) He sets up a separate cell phone account that is billed to his office.

9) The cheating husband carries condoms, and you are on the pill.

10) Begins to delete all incoming phone calls from the caller ID.

11) Deletes all incoming e-mails when they used to accumulate.

12) He becomes “accusatory,” asking if you are being true to him, usually out of guilt.

13) Raises hypothetical questions such as, “Do you think it’s possible to love more than one person at a time?”

14) He buys himself new underwear.

15) He insists the child seat, toys, etc., are kept out of his car.

16) The cheating wife stops wearing her wedding ring.

17) Has a sudden desire to be helpful with the laundry.

18) Has unexplained scratches or bruises on his or her neck or back.

19) Suddenly wants to try new love techniques.

20) He/she fairly suddenly stops having sex with you.

21) He/she suddenly wants more sex, more often.

22) Supposedly works a lot of overtime, but it never shows up on the pay stub.

23) Picks fights in order to stomp out of the house.

24) You find out by accident he or she took vacation day or personal time off from work - but supposedly worked on those days.

25) Shows a sudden interest in a different type of music.

26) Spouse’s co-workers are uncomfortable in your presence.

27) Has a sudden preoccupation with his or her appearance.

28) Spends an excessive amount of time on the computer, especially after you have gone to bed.

29) He throws up a lot because he just ate at his mistress’s house and had to eat the dinner you prepared when he got home.

30) Your spouse is away from home, either nights or on trips, more than previously.

31) His/her clothes smell of an unfamiliar perfume or after-shave. You see lipstick on your husband’s shirt.

32) The amount of money being deposited into your checking account drops off.

33) You find items of intimate apparel or other small gift-type items that you did not give your spouse.

34) Your spouse seems less comfortable around you and is “touchy” and easily moved to anger.

35) You get calls where the caller hangs up when he or she hears your voice.

36) He/she loses attention in the activities in the home.

37) Your intuition (gut feeling) tells you that something is not right.

38) He/she has a definite change in attitude towards everyone in the home.

39) She uses a low voice or whisper on the phone or hangs up quickly.

40) She has a “glow” about her.

41) Atypical erratic behavior.

42) He sneaks out of the house.

43) She sleeps with her purse by the bed.

44) She goes to the store for groceries and comes home 5 hours later.

45) He tells you that you can get hold of him at a different telephone number.

46) The telltale sign of a cheating spouse? Having to ask that question in the first place.

Dr. Robert Huizenga, The Infidelity Coach, has helped hundreds of couples over the past two decades heal from the agony of extramarital affairs and survive infidelity. Visit his website at: http://www.break-free-from-the-affair.com

Ingawa sikubaliani na mtazamo wako, lakini hizi tips 46 , nimezikubali, zina-akili..Cheers for that...Boo for the CHEATING..
 
Back
Top Bottom