love triangle asprin umekwishaaa.....?

babu ana date kwa msimu..
spring, winter, autumn na summer.
samahani wpendwa mlio kwenye rada ya babu
wakija wengine, wapya wanaohitaji kukaguliwa mtatemwa tu ..

ujumbe kutoka kwa mjukuu wa zamani .......
kwenye list ya babu kulikuwa na Mwanajamiione, Dena Amasi, maria Roza, Rose1980, Blaki Woman, Michell, Lizzy, afrodenzi, Preta, Wos, Maty, BelindaJacob, Nilham Rashid, First lady1, dahhhhhh na wengine wengi..

Ni hivi msimu wako ukiisha una step down ..
na kazi yako ni kuleta ugoro na mkongojo , hao wapya ndio
wanabaki hapo pembeni ya babu ..... "Mzunguko tu " au vipi babu Asprin
afrodenzi,una memory ni hatari.
btw ina maana mwezi huu next year kina cacico itakuwa ni kilio mikono kichwani?
 
Last edited by a moderator:
babu ana date kwa msimu..
spring, winter, autumn na summer.
samahani wpendwa mlio kwenye rada ya babu
wakija wengine, wapya wanaohitaji kukaguliwa mtatemwa tu ..

ujumbe kutoka kwa mjukuu wa zamani .......
kwenye list ya babu kulikuwa na Mwanajamiione, Dena Amasi, maria Roza, Rose1980, Blaki Woman, Michell, Lizzy, afrodenzi, Preta, Wos, Maty, BelindaJacob, Nilham Rashid, First lady1, dahhhhhh na wengine wengi..

Ni hivi msimu wako ukiisha una step down ..
na kazi yako ni kuleta ugoro na mkongojo , hao wapya ndio
wanabaki hapo pembeni ya babu ..... "Mzunguko tu " au vipi babu Asprin
Unajua afrodenzi ule mkongojo uloninunulia ushapinda? hebu kam zis wei nikunong'oneze jambo baba..... si wajua ya kale zahabu??
 
kawapiga misumari asprin,ndo mana haishi kwenda handeni kila kukicha.

Thubutu na pembe tatu yenu hukohuko subiri kumwagwa hamna wa kukuzoa

Vitu adimu kama hivi tunavyopeana na cacico kuha kumwagana au sababu yoyote ya kwenda Handeni?

184845_10150191427183098_624983097_8965843_4622031_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom