Mourinho JF-Expert Member Jul 24, 2012 4,619 2,326 Aug 13, 2012 #1 Malavidavi au mpunga? Attachments ImageUploadedByJamiiForums1344805788.139475.jpg 27.6 KB · Views: 152 ImageUploadedByJamiiForums1344805804.649276.jpg 82.7 KB · Views: 206
Gwangambo JF-Expert Member Jun 30, 2012 3,638 1,207 Aug 13, 2012 #2 Baaaaaaaasiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
Kunta Kinte JF-Expert Member May 18, 2009 3,686 1,278 Aug 13, 2012 #3 Gwangambo said: Baaaaaaaasiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Click to expand... Mkuu hataki wewe uwe na kidosho mrembo nini?!
Gwangambo said: Baaaaaaaasiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Click to expand... Mkuu hataki wewe uwe na kidosho mrembo nini?!
MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 Aug 13, 2012 #4 Uwizi mtupu....but wait hata nyie pia si mnawaibia wamama. siku hizi ni mzunguko
webondo JF-Expert Member Apr 29, 2012 1,713 382 Aug 13, 2012 #5 Wizi mtupu hapo! Kibongo ndo zipi zaidi hizo!
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Jul 12, 2012 2,042 599 Aug 13, 2012 #6 yaani mwanaume anamzidi mwili mtamu mpenziwe.na hicho kibabu naamini binti ameambiwa akikataa tu wazazi wanamlaani.
yaani mwanaume anamzidi mwili mtamu mpenziwe.na hicho kibabu naamini binti ameambiwa akikataa tu wazazi wanamlaani.
Elli Platinum Member Mar 17, 2008 55,486 86,002 Aug 13, 2012 #8 Duh hapo lazima aandae Tax Invoice maana kwa hali ya kawaida huyo Bibie hawezi kumkubali hivi hivi tu lazima kuna BILL itafuata
Duh hapo lazima aandae Tax Invoice maana kwa hali ya kawaida huyo Bibie hawezi kumkubali hivi hivi tu lazima kuna BILL itafuata