Love messages

Principessa

Member
Mar 5, 2009
47
5
mume wangu huwa anawasiliana meseji za mapenzi na wasichana...halafu la kushangaza ni wa aina tofauti tofauti,nikimwuliza anasema sio wapenzi wake.tena ananiambia niachane na simu yake...nifanyeje jamani?
 
Pole shosti lakini kwa upeo wako wewe unaonaje? unafurahia jambo hilo au laa? na kama laa umeshamwambia kua iwapo ukifanya wewe yeye atajisikiaje?
 
Nawe tafta namba nyingne hata zikiwa 2, uwe unajitumia love sms kwenye cmu yako then subiri one day azibaini ili uone reaction yake ndipo upate pa kusemea.
 
kwa kifupi mimi sifurahii,na inaninyima raha kabisa.sina raha hat ana ndoa yenyewe maana siamini kile mume wangu anachoniambia...nikimwambia ingekuwa mimi angefanyaje ananiambia ataniua...
 
Nawe tafta namba nyingne hata zikiwa 2, uwe unajitumia love sms kwenye cmu yako then subiri one day azibaini ili uone reaction yake ndipo upate pa kusemea.

mhh nilishamwambia ikiwa ni mimi atafanyaje akasema ataniua...
 
mume wangu huwa anawasiliana meseji za mapenzi na wasichana...halafu la kushangaza ni wa aina tofauti tofauti,nikimwuliza anasema sio wapenzi wake.tena ananiambia niachane na simu yake...nifanyeje jamani?
Pata hizo namba kwa intelijensia, then jaribu kuwasiliana nao hao wadada/watu, reaction yao itakupa majibu halisi, then utajua la kufanya!
Tabia hiyo ipo na wanaume wengi sana, lakini inapofikia mkeo anaziona meseji hizo hiyo ni extreme, na mara nyingine inaleta matokeo yasiyotarajiwa!
 
tatizo mi sio mtu wa ugomvi sana,halafu niwaambieje nikishawapigia?naogopa wakimwambia mume wangu nimepiga simu.kuna mmoja nilimpigia alipopokea nikaishia tu kumwambia wrong number nikakata simu.
 
Upole wako ndiyo hasara yako!
Unakuwa mtaratibu wakati unaumia roho..kwanini ujitese?
Basi hata mumueo anajua huo udhaifu wako ndiyo maana anakupelekesha ka gari mkweche!
Simamia chako bana!
 
tatizo mi sio mtu wa ugomvi sana,halafu niwaambieje nikishawapigia?naogopa wakimwambia mume wangu nimepiga simu.kuna mmoja nilimpigia alipopokea nikaishia tu kumwambia wrong number nikakata simu.
Hutaki ugomvi eeeh? Huo ni upuuuzi,na jiandae kulivaa gonjwa.
 
tatizo mi sio mtu wa ugomvi sana,halafu niwaambieje nikishawapigia?naogopa wakimwambia mume wangu nimepiga simu.kuna mmoja nilimpigia alipopokea nikaishia tu kumwambia wrong number nikakata simu.

basi kumbe endelea kuzisoma tu na utulie,kwa sababu chochote kingine utachofanya utaleta ugomvi.
 
mna mda gani kwenye ndoa?ukute mshachokana tayari

ndio kwanza tuna mwaka na tuna mtoto mmoja.hajawahi kunionyesha kuwa amenichioka,na nikiri kwamba ananipenda na kunijali sana.ananipa kila kitu kwa kadri ya uwezo wake,weekends kama haendi chuo basi huwa anashinda nyumbani,hajawahi kuilala nje na anajali familia. hata sakramenti ya ndoa iko pale pale tena hatupitishi zaidi ya siku tatu,atalalamika nisipompa. sasa sijui ni hobbie aliyonayo au ni nini?
 
sasa kama hutagi ugonvi then piga kimya cause kila utakachoshauriwa lazima kitaleta malumbano. tena temana na hiyo tabia ya kukagua simu ya mmeo since ushajua hakuna unachoweza kufanya.
 
Back
Top Bottom