Love is like a rubber band

Kibirizi

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
604
146
Wana JF mapenzi ni kama manati inabidi kila mmoja wenu asiachie kwani akiachia yanaumiza sana, nakaribisha michango kuunga hoja au kukataa!

love.png
 
Dunia ingekua mahali pa salama sana pa kuishi , incase pasingekua na vitu viwili tu!
1 . Mapenzi
2 . Pesa
Baas !
 
but hiyo rubber band ukiivuta sana ukachoka unaiachia tu haitakuumiza wewe itamuumiza mwenzio ambae bado alikua ameng'ang'ania kuivuta...njia nzuri ni kwamba wote mkiwa mnaivuta mkisikia mmechoka basi mnaachia hiyo rubber band wote kwa wakati mmoja namna hiyo hakuna anayeumia:whoo:
 
Back
Top Bottom