Love is a Risk ndio nimesema....

Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,047
452
Wakuu kila mmoja wetu hapa amewahi kupenda au kupendwa kama hajapendwa au kupendwa basi yuko kwenye mapenzi tayari lasivyo soon au later atakuwa na mpenzi kama si hivyo anafikiria ipo siku atakuja kupenda au kupendwa au la atakuwa kwenye mapenzi, Swali jiulize wewe mwenye mpenzi,unayetegemea kupenda au kupendwa, Kupenda ni RISK tena kubwa na ngumu kuepukika....nani anapinga au kuniunga hoja yangu, jiulize kwanza jinsi ulivyompata huyo mpenzi wako na definition ya RISK then argue with me...
 
ooohh dear
kila kitu tukifayacho dunia hii ya sasa
ni RISK ..
lakini binadamu kama binadamu twapenda kujaribu..
saa nyingine twapanda
saa nyingine twashuka
saa nyingine hata nusu hatufiki..
lakini siku zinaenda.
time is the answer for every thing my dear..
 
  • Thanks
Reactions: BAK

umeshanianzia kwa mashairi tena? duh kweli tunapanda na kushuka jamani, mili twapita ila mimi kamwe sijawahi komea katikati lazima nimalize tuuuu hata kama ni marathoni itamalizwa tu, ila kuna mitu haitaki kuamini mapenzi ni kurisk eeeehhhh?wengine hupenda hata inayojiita miplayer eti HB au muuza sura kumbeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee..................kaingia kile cha nini vile?Nitakujibu kesho kivyako kama ulonijibu mama nikusooth roho yako au sio?leo na home work na Kigori si unajua tena?
 
hahahahah lol
Magulumangu wewe.
mie mashairi sijui na siwezi my dear..

kabla sijaendelea umempeleka wapi yule mtoto mzuri..
anae endesha gari na anaile kitu mdomoni (dami) hahah lol

nway mapenzi ni kitu cha RISK sana my dear..
ila unajua ndo mmkekutana ile mara ya kwanza ..
raha mnazopeana, maneno matamu mnatupiana
chumbani mnabebana, bafuni mnaogeshana
njiani mankumbatiana, baharini mnagusana

mmmhhhh ndo maana RISK huoni wala husikii..
ngoja vitu vigeuke ..
hapo ndo upande wa pili wa kila mtu utajitokeza..
 
AAAAAAAAAAHHHHHHHH yule mtoto iko tundu sana imenyinya visivyonyonywa sasa nimeipeleka boarding huko ikaone cha moto maana imeanza zoea TV imekuwa noma, halafu ujue vile vitu vya risk vyote vitamu sijui kwa nini? Utasikia wapi wakati masikio na macho yote yako full covered na mauongo? Utaoshwa wewe, mtapetipeti weweweee mtaimbiana nyimbo nzuri tales za kufa mtu, kila mmoja atataka kuonesha how she/he knows to love and so far, kasheshe mkishajuana tabia zenu sasas ndo mnaanza ooohhh mi naona hatuendani,ooohhh kila shutuma hahahaha....vipi weye mambo yako lakini mtu wangu? kuna ujumbe wako vipi kuna nafasi kupokelewa lakini? usije ukapata mapokezi finyu au tuandae kabisa malori ya na kukodi watu ili uonekane mzito zaidi?
 
Give love to receive love by AD!

Mhhhhhhhhhhhhhh Give love to get love?Proved au ndo iko kwenye mchakato? maana mafataki hapo sijui na wao hutoa love kuipata hiyo? Nitamuuliza mwenyewe AD....vipi lakini weye umetoa love to get it? mie nimerisk to get LOVE and she risked too so we both got LOVED..
 
Wakuu kila mmoja wetu hapa amewahi kupenda au kupendwa kama hajapendwa au kupendwa basi yuko kwenye mapenzi tayari lasivyo soon au later atakuwa na mpenzi kama si hivyo anafikiria ipo siku atakuja kupenda au kupendwa au la atakuwa kwenye mapenzi, Swali jiulize wewe mwenye mpenzi,unayetegemea kupenda au kupendwa, Kupenda ni RISK tena kubwa na ngumu kuepukika....nani anapinga au kuniunga hoja yangu, jiulize kwanza jinsi ulivyompata huyo mpenzi wako na definition ya RISK then argue with me...

Nimeipenda avatar yako! Ingawa ni RISK sana kuipenda hiyo avatar! BTW TRC bado ina-operate? Nilikuwa naipenda!

avatar20805_3.gif
 
Mhhhhhhhhhhhhhh Give love to get love?Proved au ndo iko kwenye mchakato? maana mafataki hapo sijui na wao hutoa love kuipata hiyo? Nitamuuliza mwenyewe AD....vipi lakini weye umetoa love to get it? mie nimerisk to get LOVE and she risked too so we both got LOVED..

mmhh mafataki hawatoi upendo wowote my dear.
mie napenda kuwaita Sellfish au shellfish utakavyopenda..
wanawaza kujitimizia mahitaji yao
kwa kujifisha nyuma ya upendo..
siwezi sema wanaonyesha love yeyote my dear..
naona wanaonyesha ushetani wao kuliko upendo dear..
ni simba waliovaa ngozi ya kondoo hao..
 
Mkuu itakuwa vyema kama utafafanua hio RISK usemayo ni ya aina gani katika mapenz..ugonjwa,ugomvi,kifo,kukorofishana na familia ama ni ya aina gani..ndipo nipate la kuwakilisha.
 
HAPO UMENENA :clap2: ....KUMPENDA MTU NI KAMA KUTEMBEA NA BOMU AMBALO HUJUI LITALIPUKA MUDA GANI.
 
Wakuu kila mmoja wetu hapa amewahi kupenda au kupendwa kama hajapendwa au kupendwa basi yuko kwenye mapenzi tayari lasivyo soon au later atakuwa na mpenzi kama si hivyo anafikiria ipo siku atakuja kupenda au kupendwa au la atakuwa kwenye mapenzi, Swali jiulize wewe mwenye mpenzi,unayetegemea kupenda au kupendwa, Kupenda ni RISK tena kubwa na ngumu kuepukika....nani anapinga au kuniunga hoja yangu, jiulize kwanza jinsi ulivyompata huyo mpenzi wako na definition ya RISK then argue with me...

I believe tayari iko black and white.
 
Mtu jasiri huwa ni risk taker na anajimudu kupitia challenge mbalimbali za maisha, mojawapo ni hii, sasa kama wewe sio jasiri tena! unakuwa kwenye kundi la washindwaji mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom