...Love inaweza kusurvive bila cash?

Kama alivyosema Asha Di, in theory YES love inaweza kusurvive without money but in real life NO, kama wewe mwenyewe tu bila pesa Unajichukia
Itakuwa mpendwa,,, labda kama ulimaanisha kwa pesa kiasi but bila pesa kabisa lazima ugeukwe kaka,,

WASWAHILI WANASEMA SIKU SHETANI ALIVYOGUNDUA PESA ALIFANYA BONGE LA PATI MAANA ALIJUA WANADAMU AMEWAKAMATA NA KWELI IMEMSAIDIA KUPATA WAFUASI WENGI SANA
 
Walioko ndani ya ndoa wanaweza kuishi bila pesa na wakapendana na kupanga mikakati ya kujikwamua kwa pamoja, kazi ipo huko kwenye kazi za nje ni kweli mkaka/mbaba ukifulia ndio mwisho wa huduma na mapnz pia,unarudi zako kwa mkeo na kupumzika, Na kwa wapnz hasa kama mwanaume huwezi kujimudu hata wewe mwenyewe ukawa nakipato huyo mapnz si wako tena na ndio mwisho wa mapenz.All in all kwa wanandoa inawezekana wakapendana bila kuwa na hela,kwa wapnz no money no love same applies to nyumba ndogo.
 
Er... if you started without cash, definetely will survive without cash. Otherwise, NO!
 
Er... if you started without cash, definetely will survive without cash. Otherwise, NO!

I total disagree my dear primm...lasivyo uzisake na mwana mama aone unazikaka ila tu haujafanikiwa hapo kweli eti kwa sababu mwanzo tulianza bila pesa ndo iwe mmhh sasa tunaishije au unazungumzia pesa kiasi gani?????
 
love without money its imposible , ni ngumu kwa kweli watu wanajishauaga tu tupendane kwa shida na raha wapi hawana lolote mshiko mbele huna kushoto geukaa mbele tembea . mwanaume huna hela mjini unafanya nini

Mudomo huumba dada, mumeo ana hela sana? Wangu ni full upako, hela ya kuunga na nyuzi hivyo hivyo tunaenda na siku moja tutafika. Hao wenye hela wana mambo!
 
Nakubaliana na wewe; it depends on how it started. I can't imagine leaving my hubby eti kisa kafulia. Tulipopendana hakuwa na hata vitz; iweje leo pesa ziishe nimkimbie?
I am even ready to take full family responsibilities kama atafulia kwani nampenda. Nadhani nitazidi kuwa assured of my place in his heart akiwa hana kitu (maana mipango ya kando haitamuona handsome tena).
Tatizo la wanaume mnatumia pesa kutongoza; zikiisha lazima binti asepe kwani that is the number one qualification alotumia kukubali.

Ningekuwa mwanaume hata kama nina pesa ninge pretend to be poor ili nipate true love.
Er... if you started without cash, definetely will survive without cash. Otherwise, NO!
 
Pesa inayoongelea ni hipi hasa! ya kujikim na maisha ya kila siku au ya kipedesheee,? Mi nadhani inabidi umuzoheshe mpz mazingira yote ukiwa na nacho na husipokuwa nacho ili akuelewe .
 
Tukitaka kupamba maneno na kuonekana wanadamu wenye tabia nzuri ya Upendo... Jibu ni Ndio...

Tukifuata Logic and Reality.... NO!
I wish you were!....anyway.I think it's enough to say I LOVE the way you reason.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom