Love Connect!

God knows

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
275
173
Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!

Je, ni kweli kwamba love connect inatumika kama ilivyokusudiwa na waandaaji wa hii forum. Kwa sababu kila ukiingia utakuta watu wanaotafuta wapenzi wachumba au marafiki wanajibiwa vibaya na wanajamii forum. Muda mwingine wanaotafuta wanafanya jokes pia.

WanaJF tutabadilika lini?

May be we don't know what love is and the value of it to some people. Try to respect other's feelings. Huwezi kujua huyo unayemjibu vibaya yupo heart broken kiasi gani na kwa kiasi gani anahitaji love in order to be relieved from the situation.

Nawasilisha!
 
HAPO UMEKUMBUSHA KITU CHA MAANA SANA. KWELI INASIKITISHA SANA.......WATU WENGINE WANAKUWA SERIOUS WANAPOWEKA POST ZAO ZA KUTAFUTA MARAFIKI AU WACHUMBA. LAKINI CHA KUSHANGAZA COMMENTS ZA WANAJAMII WENGI ZINAKUWA TOO MUCH JOKES. SASA MIMI NAONA love conect SIO JINA SAHIHI LA SESSION HII, BALI INGEBADILISHWA JINA NA KUITWA love jokes. BY THE WAY, HUU NI MTAZAMO TU, MSIJENGE CHUKI! TUONANE TOLEO LIJALO.
 
kweli wanaboa wengine wanakua kama mafamba mtu unaweka vigezo vyako wanaanza kuvichambua.sasa kama mtu unaona huhitaji siuwache.kwan lazima kuchangia
 
Watafutaji wengi wa jukwaa hili ni "new members" pengine hili nalo linapunguza mvuto wa jukwaa hili.
 
Nipo Kanda ya ziwa natafuta mchumba awe Na umri 20-27. Elimu kidato cha nne hadi chuo, awe mwajiruwa au mjasilia mali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom