Love body languages za wanawake....

Kuna mmoja alinisoma huwa naripot job late,nkamwambia uwe unaniamsha ,laiti angejua amegeka alarm yangu asubuh naamshwa tu ,sijui ndo kapenda mwenyewe!
 
Wajameni sasa sisi wengine ambao hatuwezi kuzisoma hizo signs/body languages za wadada inakuwaje hapa? Personally, I don't mind mdada akinitokea na kuwa straight forward. Haya mambo sijui ya kung'ata ama kulamba kalamu mie nitajuaje kama ndo natakwa?
Basi kuanzia sasa nitaangalia kazini nikiona mtu analamba pen basi nitafanya utafiti. Lol!!
 
kuchezea pen mbona n mapenz ya kizaman sana,siku mambo straight
 
Mm mpita njia ila nimevutiwa na mada bt ushahidi juu ya yasemwayo hkuna je mtoa mada ilishawai kktokea hv karibuni?au unazungumza hearsay?
 
jaman na ile ya kulamba lips most of guys wanaitumi lips zinakuwa mbich balaa lkn kwa mate
 
Kukuomba namba ya simu nayo ni dalili mojawapo sasa mkishapeana hata kama hatachangamka kupiga/kutext changamka kwa upande wako!
 
Back
Top Bottom