Love body languages za wanawake....

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Pengine ni utamaduni au nature, lakini ni mara chache sana mwanamke anaweza kumtamkia mwanaume 'nakupenda, naomba tu wapenzi' hasa kama hawajazoeana sana. Pia mwanamke anapokuwa na hamu ya mchezo na mwanaume (ambaye sio mpenzi/mke wake), inakuwa ngumu ku-express herself directly.
Badala yake wanafanya ishara fulani zinazopelekea mwanaume ajue anapewa ujumbe fulani. Sometimes unakuta mwanaume hajui hizo ishara.

Hivi wanaume ni ishara gani mnajua kuwa ukiziona mwanamke anakufanyia basi ujue anakutaka?

Mi nianze tu na moja ya mwanamke kuja karibu yako, huku akichezea kitu mdomoni kwa mfano kalamu vile, na kuinyonya, na kusababisha zitoke sauti fulani za kufyonza huku akikuangalia machoni...
 
macho yanakuwa kama yamesinzia
hakusikii ingawa anaweza akawa anakutazama, mawazo yake yanakuwa mbali na topic mnayoizungumzia
 
Dahhhh hivi kumbe
Sina huo muda wakuremba remba
Kabla hata hatujakutana lazima nijue sababu.
Business or pleasure.

Na ukinivutia ntakusalimu
( inategemea na hali ya hewa )..
Mazingira..
 
Dahhhh hivi kumbe
Sina huo muda wakuremba remba
Kabla hata hatujakutana lazima nijue sababu.
Business or pleasure.

Na ukinivutia ntakusalimu
( inategemea na hali ya hewa )..
Mazingira..

Thats too easy AD... just kusalimia, au kusalimia kwa namna fulani...
 
Na kama sitavutiwa na wewe sitaitikia salamu zako. LOL

Ndivyo inavyotakiwa..
Yale mambo ya kureemba
Na kumsifia mtu huku unawaza jinsi
Ya kumkimbia siipendi..

Hujavutiwa na mtu mwambie mapema..
Hamna haja ya kupotezeana muda ..
 
Thats too easy AD... just kusalimia, au kusalimia kwa namna fulani...
You think that's easy?
Have you try it before ?
O
Kama bado hujagundua kuna kitu
kuhusu salamu.. chunguza tena ..

(Sauti kwa ujumla )
 
Kuna wanawake wengine akimtaka mwanaume anatafuta kisa cha kuanzisha ugomvi nae!!!
 
Tuko, these days wanawake wako straight kinomaaaa! hawana muda wa kuchezea majani wala kutafuna vidole, ni face to face, she will ask you out, anakupigia ka ulabu kidogo anakupa maneno yako, black and white, sasa wewe mwenyewe utachagua kunyoa au kusuka.

hizo time unazozungumzia wewe ni enzi za Peaugeot 504 (guruwe) na VW-Beetle (Mgongo wa chura)
Zama hizi mtu anakutokea hata kupitia FB (Face Book)
 
Back
Top Bottom