Tumsifu Samwel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2007
- 1,407
- 159
Nasumbuliwa na huyu virus pamija na autorun kwenye computer zangu nimejaribu kumtoa kwa kila njia imeshindikana,natumia Antivirus ya Avast version 5 na huwa nai-update kila siku nime scan safemode lakini wapi,Pia kwenye Floppy Disk driver za Computer zangu mbili zina fanya kazi pasipo kuweka Diskette na hii imejitokeza baada ya kupata hawa virus kupitia njia ya flash.
Msaada wenu tafadhali kwa anaye jua namna ya kumtoa hawa virus?
Msaada wenu tafadhali kwa anaye jua namna ya kumtoa hawa virus?