Lord Eyez akamatwa kwa kuiba spea za gari la Ommy Dimpoz

nokiatochi Duh hii habari imenisikitisha sana...sio kosa lake.stress za music zimempelekea kuvuta unga..unga umempelekea kuwa mwizi..wizi utampeleka wapi??
Serikali inabidi iuangalie huu muziki..wasanii wetu ni maskini sana.

Msiutazame muziki kwa jicho la mafanikio ya Diamond.
 
Last edited by a moderator:
duh hii habari imenisikitisha sana...sio kosa lake.stress za music zimempelekea kuvuta unga..unga umempelekea kuwa mwizi..wizi utampeleka wapi??
Serikali inabidi iuangalie huu muziki..wasanii wetu ni maskini sana.

Msiutazame muziki kwa jicho la mafanikio ya Diamond.
2Pac alikuwa anakula unga
wagumu kibao marekani wanakula unga na wao ndio wanawagezea hao unategemea nini?bota huyu kaiga kuwa mla unga kuliko wale wanaoiga kuwa mashoga
 
mwizi mwizi tu..awe mweusi awe mlaini awe mweupe awe mbana pua mwizi ni mwizi..na haya ni madhara ya kupiga unga
 
Aisee sidhani ka ni muziki tu! Sijui kunani! Machalii wote wa Kaloleni Nigger Bronx, SuaSide wamekuwa mateja YAANI wamekuwa hopeless nashukuru Mungu Shule imenitoa huko labda na Mimi ningekua ka wao.... Bora Abuu Nako kahama na kitaa Yuko Kiurei anahustle kivyake.. Kiukweli inauma kuwaona masela mliokuwa pamoja wameharibikiwa eti hadi LP pakapaka, dulla, soja, nao ni mateja duuuh bora spark ye chizi fresh!
 
Bora arudi Arusha Muba na Rama Mkulu watampa Shavu AKIBOA duh! Imeniuma sana YAANI Lodiiii kweli! Aisee lazima afanyiwe mchakato arudi chuga ... Najua Geboo we ni member humu mfanyie mchakato bro arudi chuga aiseee!
 
muziki sasa unazalisha mateja...mtu aliyezoea kushika atleast laki kwa wiki siku akikosa ata mia inakuwa ni noma..mizinga sana mwishoe kula unga na kuwa vibaka...Mr Blu Gz Mabovu Mchz Mox Ibra DeHustler DazBaba Langa(ameanza kurudi uko) Maunda RayC CheedBenz
 
2Pac alikuwa anakula unga
wagumu kibao marekani wanakula unga na wao ndio wanawagezea hao unategemea nini?bota huyu kaiga kuwa mla unga kuliko wale wanaoiga kuwa mashoga

braza we una misconception kama wao..2pac hakuwa mla unga kabisa alikuwa smart..mablack wengi hawaitumii hiyo kitu..wanaiogopa mbaya..walishaona madhara miaka ya 80 hadi.90 (crack epidemic)..hawa wasanii wetu wa kibongo wanajidanganyaga wanajua mablack wakiwa na ela unga ndo starehe..kukosa exposure huko..na kalapina anasemaje?
 
Bora arudi Arusha Muba na Rama Mkulu watampa Shavu AKIBOA duh! Imeniuma sana YAANI Lodiiii kweli! Aisee lazima afanyiwe mchakato arudi chuga ... Najua Geboo we ni member humu mfanyie mchakato bro arudi chuga aiseee!

na wewe uliwahi kuvuta bangi? Lord eyes ni msela mavi na machalii wengi wa arusha ni masela mavi uchafu kuvuta mibangi kwao wanajiona masela ndio maana tunazidi kuwapoteza si unaona kama faza nerry kafa kwa bahati mbaya
 
SSuala sio usela nnya au nini, Kama wewe ni mkazi wa Arusha ingekuwa umeona na jinsi gani vijana walivyo ktk hatari ya kujiingiza ktk Urahibu wa madawa ya kulevya siku zote hulka za vijana ni kupenda kujaribu kila kitu coz jamii na serikali halichukulii hili Suala kwa uzito unaostahili Arusha kuna mazingira rafiki sana ya kujihusisha katika uvutaji wa bangi then matokeo ndo haya bangi inauzwa kiwaziwazi inavutwa kiwaziwazi, hakuna anaechukua hatua Kama umekulia Na kusoma Arusha hukuvuta hata pafu ya ganja mshukuru Mungu. Ganja iko publicized sana na vijana wengi wanaipata kirahisi sana. Tusianze kuwalaumu bila kuangalia jinsi ya kuwasaidia
 
Mie mtoto wa arusha nimeishi na bado mpaka sasa naishi arusha sijawahi kuvuta bangi wala kuvaa milegezo nimekuwa mcha Mungu na nafuata mafundisho ya wazazi wangu.Tatizo lenu usela nnya sana kuvuta mibange mnaona kwenye video nanyi mnaiga iga ndio maana mnaharibikiwa.

Hivi kuna sehemu inauzwa bangi wazi wazi kama tarime au rorya kule? mbona hakuna wasela nnya kama arusha? nyie badilikeni machalii la sivyo mtaisha mdogo wako sas anakabiliwa na mashtaka zaidi ya 30 according to kamanda kinyela.

vijijini kwetu waarusha wameuza mashamba wanakuwa watumwa mbele ya wachaga na wapare unakuta wazee siku hizi wamekuwa wezi nao arusha kama hamtabadilika mtalia sana mimi mwenzako ngaramtoni nimehama niko zangu njiro na wastaarabu wenzangu
 
Sasa wewe unaongelea ngaramtoni! Mitaa tuliyokulia na mabroo zetu KINA lord Eyez Kaloleni, Bondeni, Pangani, Faya, Ngarenaro, TEJO,Unga ltd Kama umesoma Arusha angalia kile KIZAZI CHA Kuanzia 92- 2000 enzi za KINA papaa, Fred Jebi, kabelo, Drei uliza kiko wapi unakumbuka Alkesh alifanya nini ili auze kuber? Ni vijana wangapi walipotea unajua ni kwa uwazi gani Da Marietha a nauza Unga maromboso, mirungi je? Na bado Sasa JANGA Kubwa ni ugoro kasi ya vijana wala ugoro inaongezeka kwa kasi! Hebu tembelea uwanja wa gymkhana uzunguni jioni uone watoto wenu wa Kishua kutoka Njiro wanavyojiachia na bangi hadharani, hivi unajua IDADI ya mapusha iliyoko stand ndogo, stand ya Moshi, Metro, Arusha sec kwa nyuma we acha bhana wadogo zetu wako ktk hatari Kubwa sana.. Bora na sisi tulikomaa na skuli kidogo Sasa ni balaa wanavuta kila kitu mi tayari wapwa wangu wawili hawafai tena wameharibikiwa wakiwa skuli. Hebu fanya tafiti uone haya mazingira yanachangia especially kwa mateenegers ambao hutest kila kitu
 
Huyu kamfundisha Ray C kuvuta madawa
Nina ushahidi asilimia mia moja kwamba Ray C ndio kamfundisha Lord Eyez na Ibra da Hustler kuvuta Unga,,Coz Rayc alianza kuvuta unga kabla hajakutana na hawa machalii wa R
 
we ndio unaujua ukweri..kuna kipindi walitaka hadi kufia lodge 7bu ya overdozing.
 
Back
Top Bottom