Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,487
- Thread starter
- #21
Hahahaha!!! Haya bana. Dah! ila kuna watu kweli wanajuwa kuharibia wenzao.twende PM kuna maswali nataka kukuuliza kinyumbani....
Hahahaha!!! Haya bana. Dah! ila kuna watu kweli wanajuwa kuharibia wenzao.twende PM kuna maswali nataka kukuuliza kinyumbani....
samahani kidogo....kaskazini mashariki ni wapi?....
Kila ka kheri Bebii.naona utanifaa sema mimi natafuta wa kusini magharibi hicho ndo kikwazo
kwani jf imeingiliwa na nini tena,..kama vip nawe ni PM,....ahahahahaaaaaaaaaaaaa its just a joke da Canta....Karibu mwaya,nakutakia kila la kheri km kweli unamaanisha na si kutaka kucheza na hisia za mabinti za watu!cku hizi jf kumeigiliwa!
kwani wale wote walioleta zile application plus pics zao hakuna wa huko,....yaani wewe kiboko!naona utanifaa sema mimi natafuta wa kusini magharibi hicho ndo kikwazo
naona utanifaa sema mimi natafuta wa kusini magharibi hicho ndo kikwazo
This is serious. Am 36 years of age, toka kanda ya Kaskazini Mashariki. Txt me and we can discuss and take it over. For non Jf members use infopaedia75@gmail.com
naona utanifaa sema mimi natafuta wa kusini magharibi hicho ndo kikwazo
[h=2].[/h]
huko nyuma ulikwama vipi.........................tusimulie kabla hatujawashawishi dada zetu kutumbukia shimoni..............
This is serious. Am 36 years of age, toka kanda ya Kaskazini Mashariki. Txt me and we can discuss and take it over. For non Jf members use infopaedia75@gmail.com