Looking For WEBDESIGNER.

Bado Niponipo

JF-Expert Member
Aug 15, 2008
680
168
Natafuta professional and very creative webdesigner kwa ajili ya baadhi project zetu, siyo lazima iwe kampuni hata mtu binafsi anaweza kufanya project hizi.

MSISITIZO:-

Kawa wewe ni Webdesigner/developer mzuri nitumie PM itakayo ambatana na baadhi ya kazi ulizofanya hivi karibuni.

Webdesigner awe anaishi Dar es salaam, tumekuwa tunadeal na watu wa nje ya Tanzania lakini tatizo linakuwa kwenye deadline mara nyingi.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom