Looking for someone to share life with!

One Heart

Member
Nov 30, 2011
13
1
Mimi ni mdada wa miaka 29. Natafuta rafiki na kama mambo yakienda vema we can share the rest of our life together.
Sifa zangu
Dini - mkristo
Mrefu wa wastan around 168cm
Maji ya kunde
Umbo la wastani siyo mnene wala mwembamba
Elimu – Ya chuo kikuu
Sifa za nimtakaye
Awe mkristo mcha Mungu siyo kwakuigiza
Umri – Kati ya 32 to 36 years
Akiwa mrefu zaidi yangu itakuwa vizuri
Awe tayari kupima afya HIV and other sexual diseases
Asiwe aliwahi kuoa au kuwa na mtoto
Atoke popote ila awe ana makazi au mpango wa kuishi Dar.
Awe focused kwenye maisha
If you find this post interesting just contact me through PM or email john.happy33@yahoo.com
Kama uko serious and you really know what you are looking for in life just take a contact.

NB: Swala lakuuliza kama nilipo hamna wanaume siyo point ya msingi since kuna circumstances nyingi zinaweza kusababisha mtu usikutane na yule unayetamani kuwa nae.
Nategemea wapo watakaobeza ila sitaona ajabu maana hapa Jf kuna magreat thinker wa aina nyingi.
Wala mimi sio mgeni JF kama ID yangu inavyoonekana nimekuwa mwenyeji na mfuatiliaji wa jukwaa hili kwa muda mrefu. Ila kwa post hii naweza kuonekana mgeni.

Karibuni walengwa!!!!!!!!!!!!!
 
Mimi ninavigezo vyoooote tatizo ni umri, kazi sina, na suala la makazi dar! Je nitakufaa kama ni PM
 
utapata ucjal.
 
mimi ninazo zote tatizo ni ajira yangu ndogo.pia sipendi kuishi dar kabisa.kama kweli una maanisha then.let me know.
 
Hahaha! Ajira kwani ina nini? Mimi sijataja ajira ila nimesema at least awe focused in life. Unaweza kuwa na ajira kubwa still isikusaidie sbb yakutokuwa determined. Ww kwani uko wapi?
mimi ninazo zote tatizo ni ajira yangu ndogo.pia sipendi kuishi dar kabisa.kama kweli una maanisha then.let me know.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom