Chipukizi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 3,949
- 5,980
Dear all: nna miradi miwili that need funding patner and Im ready to give up to 50% shares. 1.ONLINE PHONE BOOK/SMS ARCHIVING SERVICES. Hii ni huduma ya kulipia ambapo mtumiaji atakuwa na uwezo wa kuifadhi namba zake zote ktk simu yake pamoja na SMS kwenye online server na kuweza tena kuzipata namba zake zote za simu kama zilivyokuwa,kama ataibiwa au kupoteza na kuharibikiwa na simu yake ya mkononi.Iwapo simu imepotea kwa mfano,mteja atatakiwa akishafanya sim swap na kupata simu mpya ata log kwenye online server via website kwa kutumia paswed na loging name yake aliyojisajilia then system itarudisha all phone numbers,and other contacts information including email address kwenye simu mpya mara moja. Mradi huu upo ktk steji ya kuanza,sasa hivi leseni inafanyiwa kazi na TCRA,na business proposal pamoja na technical proposal zipo tayari na developer ameshasaini mkataba wa kuanza kazi,iwapo mradi utaanza this november,basi utakuwa operational jan 2012. Anatafutwa mbia atakayekuwa tayari kuinject fund kiasi cha $ 75,000.return of investment ni one year.mapato kwa mwaka wa kwanza ni $ 4M.na mradi utaexpand after miezi sita to other part of africa including kenya uganda and rwanda. Iwapo mteja atalipishwa $ 5 kwa mwaka kutumia service hii,na wakajiunga 2 millions mobile users in Tanzania among 20 million ya watumia simu waliopo sasa.je mradi utakusanya kiasi gani kwa mawaka?ambaye ni interested ani PM.