Looking for a husband

Aliyekutuma kakosea. mume hatafutwi hivyo. mm ni mwembamba siku nikipata kitambi,upara nk ataniacha? hivyo vitakupoteza.
 
Duh ananifaa ila sasa nataka wa pili!!!!!! na upara unauhusiano gani na mapenzi sasa au ubaguzi tu?? Je albino au disabled kweli watakuwa na chance hao maana naona vigezo vingi ni vya kibaguzi!!!!!!!
 
Jamani hata kama kuna makosa ya kiuandishi basi sameheni na mrudi kwenye udhati wa kinachoombwa hapa ambacho ni mchumba.
Mimi huwa na mashaka sana na vigezo vyovyote vinavyotolea na wanaotafuta wachumba humu JF kwani naamini mapenzi hayana vitu hivyo tuvitakavyo bali huja tu bila kuwa na mambo ya kuangalia,mbona hajasema kama anataka kuwa na kipofu au kilema?Au watu hao hawana haki ya kupendwa?
 
Hello wana JF,
Rafiki yangu anatafuta mume wa kufa na kuzikana.
Sifa za shosti ni hizi

degree holder, ni mweusi, mwembamba, urefu wa wastani, sina mtoto wala sijawahi kuolewa, Nina miaka 27 na nina kazi.

Jamani rafiki yangu huyu bado hajajiunga na JF ila atajiunga soon. mwenye sifa ani pm nitamfikishia maana huyu ni rafiki yangu. Nawasilisha. Karibuni shemeji watarajiwa

Hapo penye rangi nyekundu pana utata. Inaonekana ni wewe. Basi kama hivyo ndivyo mie nipo tayari japo umri wangu ni wa kijana wa zamani lakini sifa zingine zote ulizozitaja ninazo. Lakini kubwa zaidi ni handling mama mimi najiaminia na vijisenti havinipi tatizo. Leta application mapema. Unashauriwa kulipia application fee ya US$60 tu na utume kupitia Bank account yangu iliyoko Barclays tawi Jersey. Nitakupa details ukijibu. Karibu swirrrrrrrrrrr mtarajiwa. Ahaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Truly kwani ku-analyse na ku-think critically lazima uwe na PHD sasa sijaelewa kama anatafuta mume au anatafuta msomi, unaweza kupata huyo mwenye sijui PHD mara Diploma lakini hajui kuthink na ku-analyse mambo, fahamu fika kwamba hivyo vitu vipo just naturally unaweza kuwa umesoma still ukawa kilaza linapokuja suala la mahusiano so mwambie awe makini sana asije akafikiria PHD na Diploma ndizo zitampa mume bora......Mwisho wa kuwakilisha

TF.

Sawa nipo nae hapa na msg delevered. Labda hizo mambo yake ya kuwa choosey inamchelewesha kupata mwenzi hajui tu so asante kwa kumjulisha
 

...siku hizi mnatafutana uchumba utadhani mnakwenda kutoana kafara,
si muanzishe maduka msimame kama midoli mkichaguana?

funny-pictures-kitten-checks-out-chicks.jpg
 
Kwanini unataka-PM?

Mimi nina vigezo, lakini nadhani wewe unafaa kuwa Nyumba ndogo! Miaka ishirini na saba bado sana wewe kwangu!
 
Oh. Nimependezwa na sifa za huyu ms bt nataka kujua kama hajawahi kukutana na mme, tha is if she is virgin. If yes, we may proceed with the marriage arrangements after confirmation.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom