Looking for a husband

Truly

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
228
32
Hello wana JF,
Rafiki yangu anatafuta mume wa kufa na kuzikana.

Vigezo ma masharti kuzingatiwa. Naomba niwasilisha kama nilivyotumwa.
Msomi
Miaka awe btn 30-38
Rangi-any
Kabila- any
Religion-Mkristo
Asiwe mnene i mean over weight wala kuwa na ****** makubwa
asiwe na kitambi
asiwe na upara
Urefu wa wastani
Ambae hajawahi kuoa
Loving na awe na mapenzi ya dhati,
caring,
Mvumilivu,
Muelewa,

Sifa za shosti ni hizi

degree holder, ni mweusi, mwembamba, urefu wa wastani, sina mtoto wala sijawahi kuolewa, Nina miaka 27 na nina kazi.

Jamani rafiki yangu huyu bado hajajiunga na JF ila atajiunga soon. mwenye sifa ani pm nitamfikishia maana huyu ni rafiki yangu. Nawasilisha. Karibuni shemeji watarajiwa
 
Huyu hajakizi vigezo vyangu
 
Hizo red hizooooo
 
Baadhi ya vigezo havipatani na choice zangu lakini ni-PM naweza kumpenda nikimwona.
 
duuhhhhhhhh,kila la kheri kama ni wewe na kama ni rafikiyo mfikishie.....ila huyo alopost wa kwanza anaitwa Hashycool hayuko available....akiku-PM niambie.......
 
Hello wana JF,
Rafiki yangu anatafuta mume wa kufa na kuzikana.

Vigezo ma masharti kuzingatiwa. Naomba niwasilisha kama nilivyotumwa.
Msomi
Miaka awe btn 30-38
Rangi-any
Kabila- any
Religion-Mkristo
Asiwe mnene i mean over weight wala kuwa na ****** makubwa
asiwe na kitambi
asiwe na upara
Urefu wa wastani
Ambae hajawahi kuoa
Loving na awe na mapenzi ya dhati,
caring,
Mvumilivu,
Muelewa,

Sifa za shosti ni hizi

degree holder, ni mweusi, mwembamba, urefu wa wastani, sina mtoto wala sijawahi kuolewa, Nina miaka 27 na nina kazi.

Jamani rafiki yangu huyu bado hajajiunga na JF ila atajiunga soon. mwenye sifa ani pm nitamfikishia maana huyu ni rafiki yangu. Nawasilisha. Karibuni shemeji watarajiwa
Mwambie nimem-mind~elimu yangu form seven, na kazi yangu mimi ni mvuvi. Kama vipi tujichanganye!.:wink2:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom