Looking for a graphic designer/photographer

ZionTZ

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,283
538
Kuna hiyo nafasi ya kazi, ofisi inafanya vitu vingi mojawapo ni graphics:- kudesign mabango,posters,fliers,business cards,office branding,kupiga picha na video etc

Kwa sasa anatafutwa mtu wa graphics ambae pia anajua/anapenda photography. Hapo ofcn kuna kazi ndogo ndogo za kila siku za kupiga picha kama passport sizes,potraits etc lakini pia kazi za graphics.

Umri awe kijana kike/kiume kuanzia 20-28 hamna jinsia maalum wote mnakaribishwa.

Awe anajua kutumia vizuri adobe photoshop,illustrator etc
Awe smart kichwani na kimuonekano,mwaminifu, anaejielewa anaeweza kujisimamia mwenyewe.

Tuma cv yako na sample ya kazi ulizowahi kufanya kwenda kwenye mail:- ajiradsm@gmail.com pia andika expected salary.

Karibuni.
 
Samahani, kwahiyo hata kama haja somea hayo mambo lakini anajua hizo comp program vizuri na anajua kupiga picha pia ni mtundu au mjanja ktk haya masuala, ni kwaminifu na very creative vipi mnamtaka?
 
Graphics designer wengi wazuri hawajasomea hyo kaz ni kipaji tu. Ww tuma cv tuonyeshe kaz ulizofanya then tutajua
 
Kuna hiyo nafasi ya kazi, ofisi inafanya vitu vingi mojawapo ni graphics:- kudesign mabango,posters,fliers,business cards,office branding,kupiga picha na video etc

Kwa sasa anatafutwa mtu wa graphics ambae pia anajua/anapenda photography. Hapo ofcn kuna kazi ndogo ndogo za kila siku za kupiga picha kama passport sizes,potraits etc lakini pia kazi za graphics.

Umri awe kijana kike/kiume kuanzia 20-28 hamna jinsia maalum wote mnakaribishwa.

Awe anajua kutumia vizuri adobe photoshop,illustrator etc
Awe smart kichwani na kimuonekano,mwaminifu, anaejielewa anaeweza kujisimamia mwenyewe.

Tuma cv yako na sample ya kazi ulizowahi kufanya kwenda kwenye mail:- ajiradsm@gmail.com pia andika expected salary.

Karibuni.
nafasi bado zipo? ,nimechelewa kuona tangazo
 
Back
Top Bottom