Looking for a Girlfriend

IsangulaKG

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
706
385
Kama wewe ni mwanaume huna haja ya kusoma post hii maana kuna neno 'girl' hapo juu!
Salaamu wadada wazuri wa JF, natafuta binti mzuri wa kitanzania mwenye maadili mema na aliyetulia ,hata kama umepitia historia isiyo nzuri lakina baadaye ukatulia na kufuata maadili mema si mbaya. Nina umri wa miaka 32 , nina kipato kizuri na elimu nzuri.
Binti akiwa na angalau zaidi ya form 6, anayependa kujishughulisha na kujitegemea itakuwa vizuri. Prefered age 19-30yrs
Usisite kunipm
 
Hebu fafanua kwenye kipengele cha maadili ili watu tujievaluate kabla yakutuma application!

Kama wewe ni mwanaume huna haja ya kusoma post hii maana kuna neno 'girl' hapo juu!
Salaamu wadada wazuri wa JF, natafuta binti mzuri wa kitanzania mwenye maadili mema na aliyetulia ,hata kama umepitia historia isiyo nzuri lakina baadaye ukatulia na kufuata maadili mema si mbaya. Nina umri wa miaka 32 , nina kipato kizuri na elimu nzuri.
Binti akiwa na angalau zaidi ya form 6, anayependa kujishughulisha na kujitegemea itakuwa vizuri. Prefered age 19-30yrs
Usisite kunipm
 
Jaribu bahati yako...
You don't need to evaluate yourself!
Usiogope
 
Back
Top Bottom