Looking For a Decent Man To Give My Love.

Nakuonea huruma waulize wenzio tunavyowadu then tunawamwaga nenda outdoor wakuwekee tangazo lao
 
Iam a young woman employed as HRO in one of government institutions.
Im looking for a decent man aged 31 to 36 whom I can give my love forever.
Interested? PM for more information.

Nami pia natafuta. Tafadhali tuwasiliane kama tu unakidhi vigezo:

Natafuta rafiki wa kike ambaye nitampenda na kumjali, kubadilishana mawazo, company na kusaidiana katika mambo ya maisha.

Sifa zake:


  1. Awe na Umri usiopita miaka 40
  2. Awe na umbo zuri na sura ya kuvutia na uzuri wa asili
  3. Awe na tabia njema na asiwe na tamaa
  4. Awe ana ndoto za maendeleo na mitazamo chanya katika maisha na anayejiamini
  5. Awe na Elimu ya kuanzia ngazi ya Diploma - PhD
  6. Awe tayari kupendwa na kupendeka, kudekezwa na kudeka
  7. Awe tayari kwa uhusiano wa muda mrefu kama tutaelewana

Sifa zangu:


  1. Umri wangu miaka kati ya 45-50
  2. Elimu yangu: Shahada ya Uzamili
  3. Kazi: Nimeajiriwa na Kujiajiri
  4. Sina mke
  5. Nina watoto wawili

Ambaye yuko seriously tuwasiliane kwa PM au barua pepe gentleman.waukweli@gmail.com

PM na barua pepe zote zitajibiwa 24X7 kwa walio seriously
 
Mtu makini mwenye akili timamu na fikra pevu hawezi kuleta utani katika kitu cha maana, jamani kwa ambaye hayoku tayari kuliko kuanza kuandika utani na kwenda nje ya mada mngenyamaza,mwenzenu anashida hivyo anataka aliyeko tayari wawasiliane.
Kama huna vigezo mpotezee
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom