Look at one of the offsides comitted by Bahanuzi...

Hawa dawa yao ni kuwachapa mkono ndio kelele zitaisha maana watakuwa hawana la kusingizia
 
Mtani nilijua tu hujapata fursa ya kuingia jukwaani lkn usingeweza kuiacha thread hii bila neno,anyway hiyo offside nyingine uliyoitaja ya kwako binafsi Mtani,za kwangu ni zile nyingine.
Nimekupata mtani, tuwekeni nguvu kwenye mechi zilizobaki kulalamika hakutaongeza pointi, sisi tunalia kunyimwa penati, Mwasika, Twite, Cannavaro, Chuji na Bahanuzi kutoonyeshwa nyekundu na wengine njano, nyie mnalia mlinyimwa goli, Boban kutopewa red na offside nyingi kwa Bahanuzi yote hayo hayawezi kuongeza pointi kwa sasa, bado mechi 21 hivyo bado ubingwa uko wazi kwa timu yoyote.
 
Nasikia Akrama na wenzake wote wote waliochezesha mchezo kati ya Simba na Yanga out?
 
Unafikiria TFF wameangalia hii picha ndo wakahukumu,for your information jopo la wataalamu lilikaa na kuangalia ule mchezo mzima na kubaini uvurundaji Mkubwa wa wale wachezaji wa ziada wa Simba ndo maana wakafikia hatua hiyo,sasa kama nyie hamkubali wakatieni rufaa wafunguliwe ili waje wawachezeshee mechi zenu nyingine
 
bandikeni na ile picha kanavaro alivyovuta jezi,halafu na jinsi mlivyokuwa mnawachapa simba viatu kisha refa anamezea refa yule kiukweli hafai kwa maamuzi mabovu lakini punguzeni kucheza mipira magazetini.ona hapa mechi imeisha na refa kaivuruga kwa kila upande lakini ninyi bado mnaicheza hata hapa jf bado mnaendelea kuicheza.mmeicheza mpaka mkasahau kama mna mechi na kagera na kudhihirisha hamjui mkafa kaitaba.sasa sijui yule refa wa mechi na simba alikuwepo.
 
Back
Top Bottom