Look alike. . .

Sijui alimkimbia jamaa ake gesti.
Mie naingia getini niko kwa mbali, naona mtu ananisonta, umati mzima unanigeukia na kuanza njoo hapa.

Jamaa mwenyewe kiswahili hakipandi, mie na kingereza hatuendani.

Magoti yalilegea yoote, thank God nilipokaribia akasema siye, mijitu nikaisikia 'aaah, bahati yako'
Nilikimbia kwenda home, maana nikaona ishakuwa balaa, ila nilimjua aliyefanya kitendo kile sababu watu walikuwa wanatufananisha sana.

Hahahahaha. . . .hiyo ni balaaa. Angekung'ang'ania sijui ingekuaje. Inawezekana leo hii Konnie asingekuwepo hapa aisee.
 
Nilitetemeka wiki nzima, afu nikimuona yule mtu niliyehisi kafanya hicho kitendo nashindwa kumwambia
Sababu tulianza salimiana baada ya watu kuwa wanasema tunafanana ila hatukuwa karibu kabisa
Na jamaa aliyetorokwa nikimwangalia wanaendana, wote ma yo yo yo.

Ila nilijinyima uhondo, inaonekana alikuwa mzito maana huo usafiri alokuwa nao sijawahi uona hapa mabwepande.

Tatizo alinikonfuzi il;e slang ya kimarekani na taharuki ya umati nayo.

:scared:scary!!!!!!!!!!!!! mmmmmmh! angekuwa amekula viroba na bangi juu lazima angekomaa na wewe na ulivyokuwa umelegea magoti ,taraaatibu kama maharage ya mbeya!
 
Mie kuna watu zaidi ya 2 wanafanana na mzazi wangu wa kiume kopy right, afu sio mie tu ambaye huona hivyo hata wenzangu huona hivyo kasoro mkewe ndo huwa anabisha.

Kwa utafiti wangu hakuna mtu duniani alixe kiri kuwa amemwona mtu anafanana na mzazi wake
 
Nilitetemeka wiki nzima, afu nikimuona yule mtu niliyehisi kafanya hicho kitendo nashindwa kumwambia
Sababu tulianza salimiana baada ya watu kuwa wanasema tunafanana ila hatukuwa karibu kabisa
Na jamaa aliyetorokwa nikimwangalia wanaendana, wote ma yo yo yo.

Ila nilijinyima uhondo, inaonekana alikuwa mzito maana huo usafiri alokuwa nao sijawahi uona hapa mabwepande.

Tatizo alinikonfuzi il;e slang ya kimarekani na taharuki ya umati nayo.
Heheheheh. . .basi angekuhamisha hapo Mabwepande. Alafu pacha wako angekumaind sana.
 
Mie kuna watu zaidi ya 2 wanafanana na mzazi wangu wa kiume kopy right, afu sio mie tu ambaye huona hivyo hata wenzangu huona hivyo kasoro mkewe ndo huwa anabisha.

Hhhmm. . .Inabidi umuulize bibi. . . Lolz

Alafu vipi watoto wanaofananishwa na watu ambao sio baba zao? Kuna kamoja yani kenyewe kana baba zaidi ya wanne, na wote hua wanaunga mkono wanaowaambia.
 
Umbea hauruhusiwi........maadam mtu ninaemfananisha nae nishamwambia, basi naona inatosha!!

Alafu wewe mbona umekaushia ujumbe wangu???

Sawa bana kama umeamua kunibania (KINYONGE ZAIDI. . .sana yani)

Ngoja najaribu kupoteza poteza muda hii safari iishe. Ntaufanyia kazi nikifika. . . . . .
 
hahah.......niletee besti maridadi kwanza lol!!

Haya bana mie nasubiria tu!!
 
Wahenga walinena: duniani wawili wawili. Unapokutana na mtu ambaye htmjui na kumchukia on site, irudi nafsi yako. Muombe Mungu akuepushe na chuki hiyo. Ngumu? Jaribu.
 
ha ha ha, hako katoto kana bahati.
Labda mama ake aliwapenda hao watu wakati mjamzito.

Hhhmm. . .Inabidi umuulize bibi. . . Lolz

Alafu vipi watoto wanaofananishwa na watu ambao sio baba zao? Kuna kamoja yani kenyewe kana baba zaidi ya wanne, na wote hua wanaunga mkono wanaowaambia.
 
hahah.......niletee besti maridadi kwanza lol!!

Haya bana mie nasubiria tu!!

Niambie kwanza. . .
Alafu huyo besti maridadi wako kanipandisha na barabara siku ya leo karibu kichaa kinipande.
 
Wahenga walinena: duniani wawili wawili. Unapokutana na mtu ambaye htmjui na kumchukia on site, irudi nafsi yako. Muombe Mungu akuepushe na chuki hiyo. Ngumu? Jaribu.

Ahsante kwa ushauri O-man
 
Back
Top Bottom