Look alike. . .

hheheh..uminikumbusha wewe!!!
binti wa kinyaturu...tumekutana mkoani...kanambia wafanana na pacha wangu yuko TPDF..yani copyright! mwili wako wa mazoezi, tabasamu, rangi ya mwili...duh...kaanza mwenyewe kuniita kaka...yalipokuja kubadilika....sijui...maana kama naitwa mpenzi siku hizi...huku kufananishana huku???
asavali mi namfananishaga mshkaji wangu na zitto...ni mbishi huyoooo!!!!
 
Wapo watu ambao hua tunawafananisha kwa muonekano, namna ya kuongea, kifikra au walivyo tu kiujumla na watu wetu wa karibu au tunaowafahamu tu.

Hii inaweza ikasababisha mtu akawa na hisia mbaya au nzuri sana na mtu asiemfahamu kwasababu tu anamkumbusha mtu ambae hayuko nae vizuri/yuko/alikua nae vizuri sana kimahusiano, awe rafiki, ndugu au hata mpenzi.

Swali langu ni je, umewahi kujikuta unampenda mtu kwakua anakukumbusha mtu fulani ambae inawezekana yuko mbali sana na ulipo wewe au hata alishaaga dunia hii?

hasa ukutane na dada au kaka anafanana na umpendaye yaani unahisi uko anaother world aisee....
 
hheheh..uminikumbusha wewe!!!
binti wa kinyaturu...tumekutana mkoani...kanambia wafanana na pacha wangu yuko TPDF..yani copyright! mwili wako wa mazoezi, tabasamu, rangi ya mwili...duh...kaanza mwenyewe kuniita kaka...yalipokuja kubadilika....sijui...maana kama naitwa mpenzi siku hizi...huku kufananishana huku???
asavali mi namfananishaga mshkaji wangu na zitto...ni mbishi huyoooo!!!!

kweli wewe mentor...
 
inawezekana Lizzy, na kama kipo hicho kitu sijakijua bado, ila namchukia huyo mtu jamani hadi najishangaa.... Na sina mazoea nae, wala hatupo karibu kihivyo.....mbaya zaidi kila siku asubuhi nitakutana nae kama sio parking basi koridoni......

Ni mbaya sana kwa kweli, mpaka najisikia vibaya kumchukia mtu bila sababu.....

Sijui kama amenotice au vipi..........

Maskini kaka wa watu. . .
Ukute mwenyewe anavutiwa na wewe mpaka basi. Jitahidi bana hako kachuki kayeyukie mbali.
 
hheheh..uminikumbusha wewe!!!
binti wa kinyaturu...tumekutana mkoani...kanambia wafanana na pacha wangu yuko TPDF..yani copyright! mwili wako wa mazoezi, tabasamu, rangi ya mwili...duh...kaanza mwenyewe kuniita kaka...yalipokuja kubadilika....sijui...maana kama naitwa mpenzi siku hizi...huku kufananishana huku???
asavali mi namfananishaga mshkaji wangu na zitto...ni mbishi huyoooo!!!!
Hahahahaha we Mentor nawe. . .
Yani ukakubali kaka awe mupenzi?
 
Sijui alimkimbia jamaa ake gesti.
Mie naingia getini niko kwa mbali, naona mtu ananisonta, umati mzima unanigeukia na kuanza njoo hapa.

Jamaa mwenyewe kiswahili hakipandi, mie na kingereza hatuendani.

Magoti yalilegea yoote, thank God nilipokaribia akasema siye, mijitu nikaisikia 'aaah, bahati yako'
Nilikimbia kwenda home, maana nikaona ishakuwa balaa, ila nilimjua aliyefanya kitendo kile sababu watu walikuwa wanatufananisha sana.

Embu funguka bana Konnie. . . au ushasahau mimi niko kifamilia zaidi? Lolz
 
Back
Top Bottom