Looh, mke wa mtu ni sumu!

Hiyo adhabu imeenda shule; nafurahi saaana hawa vibaka wote me na ke wakishughulikiwa. Na sinaga huruma wala kutafakari eti sijuhi angefanya hivi angefanya hivi; mtu chake bwana; na cha mtu mavi.

Halafu bi mkubwa dictator unatisha
 
Ningekuwa mimi ningemkata"biology" yake halafu kwa hasira ningeitengeneza mshikaki niile kwa ugali!
 
Back
Top Bottom