Looh...Mama Salma mbona wale wa kampeni huwaenzi kama hawa?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,427
911,172
01_11_2xhaxu.jpg


THE First Lady, Mrs Salma Kikwete, (fourth left, front row) in a group photograph with the wives of foreign diplomats accredited to Tanzania, during a sherry party at the State House in Dar es Salaam on Friday. (Photo by Yusuf Badi)
 
Ninachoshangazwa na viongozi wetu hususani wa CCM wakati wa kampeni huzunguka nchi nzima wakisaka kura wakisha kufanikiwa malengo yao huwaoni..............................tena ................................

Utawakuta tayari wamebuni marafiki wapya ambao hawakuwa hata na msaada wowote ule wakati wa kampeni na huwaenzi maswahiba hao wapya kwa khali na mali kama Mama Salma aonekanavyo hapa na wake za mabalozi wa hapa nchini.........baada ya kutumbua hela za wavuja jasho bila huruma........nilifikiria Mama Salma angelizunguka nchi nzima kwanza kuwashukuru wote waliomsaidia kuhakikisha Mzee anarudi kwenye kitebe hususani UWT, NEC na TISS.....................................

Have your say...................................
 
Hivi hizi dhifa za kibalozi zinagharamiwa na nani?kwa hiyo sasahivi safari za nje no,ni mialiko tu pale ikulu.juzi alianza baba(JK) akafuata uncle(membe) jana mama,kesho shangazi halafu itafuatiwa na watoto(liz 1 na mirage)
 
hivi hizi dhifa za kibalozi zinagharamiwa na nani?kwa hiyo sasahivi safari za nje no,ni mialiko tu pale ikulu.juzi alianza baba(jk) akafuata uncle(membe) jana mama,kesho shangazi halafu itafuatiwa na watoto(liz 1 na mirage)
na usisahau mkuu hayo yooote yanafanyika, wengine wanapigwa risasi, na migomo kibao, gesi,umeme, vyakula juuuu. Pumbavu senu saaaana nyie!
 
Mkuu....hilo la kuzunguka nchi nzima tena...si ndo ataendelea kutumalizia pesa zetu. Na sasa matumizi yameongezeka...kama kuilipa Dowans..:)
 
ah Ikulu imegeuka Diamond Jubilee, naona Kkiwete na mkewe wanashindana kumwaga mapati kila kukicha. Mara birthday, mara new year, mara kujipongeza kwa kuiba kura. Tutafika kweli? Fatilieni mambo ya msingi acheni ulimbukeni. Unewaalika basi wanawake wajane hapo ikulu au wamama wenye kansa tungekuona wa maana, hao wake wa mabalozi hapo hawana shida kama waliokupa kura na umewasahau.:Cry:
 
Ndivyo ilivyotabiliwa kwamba kipindi cha pili cha uongozi wa marais wetu huwa ni lala salama, hakuna kuweka msukumo kwenye maendeleo ya kitaifa bali maendeleo ya kwao tu na jamaa zao. Tulishaona na tunayaona. Lakini nashukuru watanzania angalau sasa wana uelewa wa mambo, na ikiendelea hivi bila kuchelewa sana twaweza badilisha uongozi na pia kuwafanya viongozi watekeleza maslahi ya Taifa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom