London Riots

_54485285_3paradisegems_pa.jpg

article-2023554-0D5A354F00000578-308_964x686.jpg

_54485284_2shop_pa.jpg

Ndugu wana JF napenda kuwajuza kuwa kwa BIBI London hakukaliki ni mioto magari na maduka kuchomwa moto.

Hii ilianza hapo juzi baada ya askari mmoja kuchukua sheria mkononi na kumuua kijana mmoja, wananchi wamekasirika wa askari kuua raia bila kuacha sheria ichukue mkondo wake.

Jambo kama hili hapa kwetu TZ limekua ni kawaida kabisa kwa askari kuua raia na serikali isichukue hatua yoyote pia baadhi ya watu wakipiga kelele wanazomewa ati ooo wanataka kupindua nchi JE wanataka tusubiri hadi wananchi washindwe kuvumilia wafanye yanayo fanyika Uingereza?

Au huko UK ni Dr Slaa anawahamasisha kufanya hizo vurugu? Jamani sheria isipotekelezwa kwa kufuata misingi ya haki ndio matokeo yake haya.

Juzi waziri mmoja kamsema waziri kivuli wa mambo ya ndani kuwa anachochea wananchi, Je kwa kukumbusha haki itendeke na sheria ifuatwe ni kuleta uchochezi au wanataka watu waanze kama huko juu kwa bibi? CDM endeleeni kukaza uzi shinikiza hao magamba waache kuua watu hatupendi yatufike ya kuharibu mali na kuumizana, ya Tabora, Mara, Arusha wote walio tia mkono sheria ichukue mkondo wake vinginevyo watu wata choooka waamue kurivenji kwani Peooopleeees Pooower.
 
To build may have to be the slow and laborious task of years. To destroy can be the thoughtless act of a single day. Winston Churchill

Kama football fans and history is to go by, basi waingereza wana ka-ingredient ka Hooliganism, opportunity ikitokea basi wataonyesha their true colours..... (nadhani hapa wengine wanasingizia kisa cha yule jamaa kuuliwa lakini wameamua kutoa stress zao kwenye majengo na magari)
 
This is definately news to me... i am so out of touch... Ni nini hasa mpka ikawa hivo??
 
waingereza wana ka-ingredient ka Hooliganism, opportunity ikitokea basi wataonyesha their true colours..... (nadhani hapa wengine wanasingizia kisa cha yule jamaa kuuliwa lakini wameamua kutoa stress zao kwenye majengo na magari)

mkuu hii tabia ni ya binadamu wote,hata wakaguru na wakwere siku wanapochoka kuvumilia shida wanaweza kufanya mambo zaidi ya haya.
 
This is definately news to me... i am so out of touch... Ni nini hasa mpka ikawa hivo??

A bus, a shop and two patrol cars have been set on fire in Tottenham. An estimated crowd of around 300 have gathered and there have been reports of looting and shop windows being smashed.

Earlier in the day members of a community where a young man was shot dead by police had took to the streets to demand "justice".
The 29-year-old, named locally as father-of-four Mark Duggan, died at the scene in Tottenham, north London, on Thursday. About 120 people marched from the local Broadwater Farm area to Tottenham Police Station, forcing officers to close the High Road and put traffic diversions in place.

A Metropolitan Police spokesman said: "Missiles were thrown at them. One was set alight and one was pushed into the middle of the High Road."

Officers were being dispatched to disperse the crowd, he said. He could not confirm that those responsible for the trouble were connected to the protest. A family friend of Mr Duggan, who gave her name only as Nikki, 53, said the man's friends and relatives had organised the protest because "something has to be done" and the marchers wanted "justice for the family." Some of those involved lay in the road to make their point, she said.

"They're making their presence known because people are not happy," she added. "This guy was not violent. Yes, he was involved in things but he was not an aggressive person. He had never hurt anyone."

Mr Duggan had been travelling in a minicab on Thursday and was gunned down after an apparent exchange of fire. A police officer's radio was found to have a bullet lodged in it afterwards, suggesting they may have narrowly escaped being struck. Officers had been attempting to carry out an arrest under the Trident operational command unit, which deals with gun crime in the black community, according to the Independent Police Complaints Commission (IPCC).

An IPCC spokesman said that at around 6.15pm on Thursday, officers from Trident, accompanied by officers from the Specialist Firearms Command (CO19), stopped a minicab to carry out an arrest.

"Shots were fired and a 29-year-old man, who was a passenger in the cab, died at the scene," he said. It is believed that two shots were fired by a firearms officer, equipped with a Heckler & Koch MP5 carbine. A non-police issue handgun was recovered at the scene as well as the police radio. "Both the radio and the handgun are being sent for expedited forensic tests," the spokesman said. "The exact sequence of events is subject to the IPCC investigation. A CO19 officer was taken to hospital as a precautionary measure but has since been discharged."

Local MP David Lammy has called for calm, saying the community was anxious over what had happened. A police officer, PC Keith Blakelock, was hacked to death in 1985 following a riot in Broadwater Farm from where the marchers set off this afternoon.

Source: Tottenham in flames as protesters riot | World news | guardian.co.uk
 
mkuu hii tabia ni ya binadamu wote,hata wakaguru na wakwere siku wanapochoka kuvumilia shida wanaweza kufanya mambo zaidi ya haya.
Mkuu binadamu wana culture tofauti (take Japan for instance.., hata baada ya ile Tsunami watu walikuwa calm na watulivu) sasa hii issue ukiangalia waingereza ni watu wa fujo (Hooligans) wewe angalia tu baada ya Games za mpira au wakipata opportunity kwahiyo naweza kusema ni kama kipele kimepata mkunaji..., yaani hawa jamaa wakipata opportunity na wasiposimwa haraka na kama mob ikiwepo basi ujue kuna shughuli inakuja hata timu yao ya mpira ikifungwa lazima police wawe alert

Tena kuna racial tensions kubwa sana ambazo zisipotafutiwa dawa huenda zikawa time bomb (wapakistan na watu weupe; weusi na wapakistan n.k.) sababu hata kuna kipindi ilitokea fujo kati ya wapakistan na watu weusi (Birmingham) lakini police walimove fast. Sasa hii ukichanganya na maisha magumu na kazi kuwa chache inafanya wazawa waanze na kuwachukia wageni (In short sioni future yoyote nzuri kwa England) The Great Britain is not Great any more
 
Earlier in the day members of a community where a young man was shot dead by police had took to the streets to demand "justice".
The 29-year-old, named locally as father-of-four Mark Duggan, died at the scene in Tottenham, north London, on Thursday. About 120 people marched from the local Broadwater Farm area to Tottenham Police Station, forcing officers to close the High Road and put traffic diversions in place.

A Metropolitan Police spokesman said: "Missiles were thrown at them. One was set alight and one was pushed into the middle of the High Road."

Thanks VOR Plus EMT....

Had no idea... ndio nimepata this news hapa.... Sad.
Hii news imenikumbusha Thread ya EMT on CRDB Police Vs the guy wali ambush...
 
Polis wamefanikiwa KUUA RAIA????
Chanzo ndio hicho kuna mtu alipigwa risasi nadhani juzi na polisi akafa sasa ndugu zake na jamaa wakaandaa maandamano kwenda kituo cha polisi (as protest) sasa hapo ndio na watu wengine waka-take advantage wenye kuvamia maduka, wenye kuchoma moto magari na nyumba yaani all hell broke loose (lakini chanzo au sababu ni huyo jamaa kupigwa risasi)
 
Mkuu binadamu wana culture tofauti (take Japan for instance.., hata baada ya ile Tsunami watu walikuwa calm na watulivu) sasa hii issue ukiangalia waingereza ni watu wa fujo (Hooligans) wewe angalia tu baada ya Games za mpira au wakipata opportunity kwahiyo naweza kusema ni kama kipele kimepata mkunaji..., yaani hawa jamaa wakipata opportunity na wasiposimwa haraka na kama mob ikiwepo basi ujue kuna shughuli inakuja hata timu yao ya mpira ikifungwa lazima police wawe alert

Tena kuna racial tensions kubwa sana ambazo zisipotafutiwa dawa huenda zikawa time bomb (wapakistan na watu weupe; weusi na wapakistan n.k.) sababu hata kuna kipindi ilitokea fujo kati ya wapakistan na watu weusi (Birmingham) lakini police walimove fast. Sasa hii ukichanganya na maisha magumu na kazi kuwa chache inafanya wazawa waanze na kuwachukia wageni (In short sioni future yoyote nzuri kwa England) The Great Britain is not Great any more

tsunami was a natural disaster.... acha potosha watu..
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Dah hii ni hatari, kisa Police wamewapiga risasi jamaa, kweli wenzentu hawana utani!
 
Dah hii ni hatari, kisa Police wamewapiga risasi jamaa, kweli wenzentu hawana utani!

Mkuu hii issue inaonekana ni zaidi ya polisi kumpiga mtu risasi. Nasikia huwa inatokea kila Conservative wakiwa madarakani. They are forces behind this.
 
Back
Top Bottom