Ukirudi Tanzania, basi karibu sana jiji la TABORA. Julius waja lini unione nduguyo? Masanilo nakuandalia kabisa "nswaa" ahh kwa kiswahili kumbikumbi?
Ukirudi Tanzania, basi karibu sana jiji la TABORA. Julius waja lini unione nduguyo? Masanilo nakuandalia kabisa "nswaa" ahh kwa kiswahili kumbikumbi?
....Nimebahatika kuja hapa London ........
....Treni zenyewe sio kama za huku kwety tanzania, ....
.... jaribu kucopy moja au mawili muhimu uwapelekee bongo land.....
Huwezi kuniambia chocote kuhusu uzuri wa maandhari ya asilia ya Magu na Lushoto ... Uzuri/ubaya wa kitu ni relative/subjective jamani.
.... . Siku hizi visamvu, mihogo, ndizi mbichi na mzuzu, magimbi, unga wa ugali na vyakula vingine kibao vinapatikana katika masupermarkets makubwa. Wahamiaji wanazibadilisha nchi za magharibi kwa kasi kubwa sana.
Hii thread bana....it gots to take the cake, kwa kweli.
Nimecheka sana Mkuu anashangaa kuona "Ulaya" Kuna wazungu wengi :shock:
Huyu Mkuu ndio post yake ya pekee hapa JF, labda bado anakushangaa "London"
"ajabu kumbe hata wazungu wanasimama kwenye treni"
Thanx kwa kuwa mkweli.watanzania wengi wanapenda kujifanya wameshazoea wanayoyakuta nchi za watu.kama vile na daresalaam ipo hivyo hivyo.
Natamani watanzania wengi wangekuwa honest kama ulivyo wewe.
Kila mtu ni mshamba sometimes...
Nimebahatika kuja hapa London kwenye mikakati ya kuonyeshwa masuala ya ha ugenini, kwakeli nimeona mambo mengi sana ningependa kueleza wenzangu ambao hamja fika Ulaya.
Jamani huku ulaya kuzuri sana , kila mtu anakusalimia na kuku ambia sorry and excuse me, watu hawa kai ovyo ovyo yani kila kitu ni wanakaakwenye mstari kupata huduma.
Kuna wazungu wengi sana na nilishangazwa kuambiwa eti kunapatikana hapa madukani hata unga wa mhogo kwakweli hiyo imenishangaza sana.
Mji msafi sana , magarimazuri na sio ma kuu kuu , cha ajabu giza linaingia mapema sana , kwakwlei nilishtuka sana kuona hali hiyo mbaka nikadhani labda ndio dunia inakaribia kwisha.
Ukitoka Airport unaingia kweney treni , jamani treni hiyo ya ajabu inapiga chini ya ardhi una shtukia tuu una tokea mjini, kwakweli ni maajabu makubwa sito sahau kuona ilo.
Treni zenyewe sio kama za huku kwety tanzania, ni ziko kiajabu ajabu milango inajiifungua na mnakaa kwa kutizamana , ajabu kumbe hata wazungu wanasimama kwenye treni na hizi hazitumii dizel zinatumia umeme.
Maduka yao yame jaa vtu mali mbali na watu wana fanya biashara muda wote, jamani kwakweli sito sahau niliyo yaona hapa London .asanteni sana.
Define the term 'ushamba' (2 Marks)
mama yangu weee hivi inawezekana akasema hivyo eeeh!Hahahahha anaweza akaja akasema eti "nashangaa watoto wadogo wanaongea kizungu"