London International Conference on Somalia

I don't think so. Nobody supported Kenya, na sasa naona kama wameanza kuishiwa nguvu ndio maana wanataka "International Community" ijihusishe. Did JK say anything about Kenya?
Nasoma kua speech ya Turkey pekee ndio iliwafurahisha Somali people, but most of them did not like the idea of this conference.

Apparently, U.S. cables made public by WikiLeaks show that the United States warned Kenya two years ago not to launch an offensive in southern Somalia against al Qaida-allied al Shabab rebels, but a U.S. official also offered to check on the "feasibility" of a U.S. review of the plans.

Kenya went ahead with an invasion a month ago, saying it was a response to a recent series of kidnappings near the border between the two countries. But the existence of the cables undercuts Kenya's claim that the move had not been long planned.

Read more here: WikiLeaks: U.S. warned Kenya against invading Somalia | McClatchy
 
  • Thanks
Reactions: JS

:shock: (
one particularly lively cable depicts a senior U.S. official asking Kenya's foreign minister if Kenyan troops shouldn't consider trying to take Kismayo, the Shabab stronghold seaport, on their own or with the help of Somali militias, and promising the review of the plans by an American team. The tactics described in that cable match the plan Kenya appears to be trying to execute.)

Nimesoma. Kumbe walitumwa? na sasa wamewageuka?
Ukute ni mpango mzima wa kuendeleza chaos hapa.
Two countries that worked together went on war against eachother,
Sasa kenya imesema wazi, haiwataki wasomali kwake!
This is bad...very bad.
 
With some cosmetic changes.
(I don't know why I love this expression. lol )
Naona ni madharau ya hali ya juu.
They set the venue, the agenda, the list of people to attend,
the list of people who will talk, the time frame, hadi the outcome!
 
:shock: (
one particularly lively cable depicts a senior U.S. official asking Kenya's foreign minister if Kenyan troops shouldn't consider trying to take Kismayo, the Shabab stronghold seaport, on their own or with the help of Somali militias, and promising the review of the plans by an American team. The tactics described in that cable match the plan Kenya appears to be trying to execute.)

Nimesoma. Kumbe walitumwa? na sasa wamewageuka?
Ukute ni mpango mzima wa kuendeleza chaos hapa.
Two countries that worked together went on war against eachother,
Sasa kenya imesema wazi, haiwataki wasomali kwake!
This is bad...very bad.

Never go to war with the Americans. Wanaweza kukuacha huko.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili Lancaster House jijini London leo February 23, 2012 kijiunga na viongozi wa nchi mbalimbali katika mkutano wa kujadili mstakabali wa nchi ya Somalia ambayo imekuwa katika misukosuko kwa zaidi ya miaka 20 ambapo jumuiya ya kimatifa ikiongozwa na Uingereza imepania kumaliza matatizo mbalimbali katika nchi hiyo ikiwemo kutokuwa na serikali inayoeleweka, uharamia, ugaidi pamoja na kujaribu kurudisha amani. Picha na Ikulu

lo4.jpg

lo5.jpg

lo1.jpg

lo2.jpg

lo3.jpg
 
Did anyone notice how fat the somali president is. Typical african leader not in touch with how hungry his people are.
 
Sijamwona Jk high table,Nimewaona mrs Clinton,B. moon,Cameroon,kibaki,mseven na wengine wasomali.JK alijipeleka au?
 
Sijaona popote kuhusu JK... na ukiangalia speech ya Kibaki he is almost accusing TZ for not doing anything. He has praised Burundi and Uganda, but he didn't mention anything about TZ. SIdhani kama JK aliongea.

Well, what goes around comes around. Kwa zaidi ya miaka 30 Tanzania imekuwa na refugees toka Zaire (now DRC), Burundi na Rwanda. By 2006 Tanzania walikuwa wanaongoza kwa ku-host refugees wengi kuliko nchi nyingine Africa (over a million refugees). Kenya never lifted a finger! Sasa zamu yao!
 
I think what he meant was not only about the refugees ila ni vita yote tu kwa ujumla. Kenya iliamini kuingia katika vita na Al-Shabab ni a noble mission ya kusaidia ulimwengu mzima na as such watu wote watako faidia peace in Somali wanatakiwa kusaidia. Like Tanzania na EAC nzima ilitakiwa kusupport, kuchangia, AU kutuma majeshi na pesa etc. But nothing happened.
Sasa hata hizo hasira dhidi ya refugees wa Kisomali and other Somali people legally established in Kenya, ni out of frustration ya watu wote kuwaambia it is THEIR war.
 
Kenya walifanya makosa makubwa sana na watu wengi wali-point out the cardinal rules walizovunja. Kwanza inaonekana kabisa hawakusoma nguvu ya Al-shaabab, na hawana uhakika 'WHO' is Al-shaabab. Pili kabla ya kwenda kwenye hii vita na kama walitaka nguvu ya pamoja kwa nini wasingewashirikisha majirani zao wakati wa maandalizi? (kushirikisha sio kutoa habari, you sit down together and map out the plan as a team). Nchi jirani hawakuwa na uhakika nini hasa nia ya hii vita ndio maana unaona wote walikaa kimya. Hata Membe alinukuliwa akisema hili kwamba hawana uhakika hii vita ikoje?

If I remember correctly hawa wakubwa waliamka na vifaru vyao kutanga operation 'linda nchi'. Waliamini within a few days wangesafisha Somalia na kurudi zao home. Makosa yale yale waliyofanya Marekani wakati wanaingia Iraq ndiyo yamewakumba Kenya, a complete mis-understanding of the situation and worst of all your enemy.

Sasa hivi watu wanaweza kulaumiana sana lakini a very good opportunity was lost wakati watu wanajaza vifaru mafuta.
 
Mkuu, umemsoma EMT alipoandika kua the US waliwasaidia Kenya kuplan hii attack? Inaonekana US wanted the Kenyan's to do this, na walikua na nia ya kuwasaidia (maybe to convince other countries to join?). Na sasa hivi Kenya inafata hiyo road map ila hawaoni the promissed support. Ethiopia was supposed to attack from the north but they aren't...
 
Is it??? Uchumi wao unategemea nini zaidi? mi hata siijui vizuri hii nchi. Ngoja nisome Wikipedia kwanza:
- According to the CIA and the Central Bank of Somalia, despite experiencing civil unrest, Somalia has maintained a healthy informal economy, based mainly on livestock, remittance/money transfer companies and telecommunications. Due to a dearth of formal government statistics and the recent civil war, it is difficult to gauge the size or growth of the economy. For 1994, the CIA estimated the GDP at $3.3 billion.In 2001, it was estimated to be $4.1 billion. By 2009, the CIA estimated that the GDP had grown to $5.731 billion, with a projected real growth rate of 2.6%
- The Central Bank of Somalia indicates that the country's GDP per capita is $333, which is lower than that of
Kenya at $350, but better than that of Tanzania at $280 as well as Eritrea at $190 and Ethiopia at $100.However, the CIA puts Somalia's GDP per capita at $600.
Whaat?All of this na hawana serikali?

Na sisi kumbe hatuitaji serikali?lol
 
Sitaki kuitafsiri speech ya Kibaki na kumsemesha kitu ambacho hakusema, ndio maana nilisema IT IS ALMOST AS IF... Ila kusema ukweli katika speech nzima he did not mention TZ as a country involved or to be involved, bali alisema East African region is negatively impacted and Countries should do what they promised to do (Nadhani he was refering to the AU conferences). Hiyo hapo juu ni extract tu.
Apparently JK hakuongea kabisa in the Conference, despite the fact that TZ has a lot of interest in seeing Somali water safer (and the Indian ocean in general). Was it necessary to go and fulfill his the protocol? Was it a strategic conference for TZ? Tusubiri tumsikie JK mwenyewe kachukuliaje.
TZ wanawatumia Alshabab kama karata yao dhidi ya wapinzani, ie wanapodai kutakuwa na shambulizi wakati wa mkutano ama maandamano ya wapinzani nk, so ni wanafiki na hata majirani wanajuwa hilo.
 
Mkuu, umemsoma EMT alipoandika kua the US waliwasaidia Kenya kuplan hii attack? Inaonekana US wanted the Kenyan's to do this, na walikua na nia ya kuwasaidia (maybe to convince other countries to join?). Na sasa hivi Kenya inafata hiyo road map ila hawaoni the promissed support. Ethiopia was supposed to attack from the north but they aren't...

Mkuu nimekusoma. Kumbuka swali kubwa ambalo nchi jirani walikuwa wanajiuliza (bila majibu) ni NIA ya hicho kilichobatizwa operation LINDA NCHI. Kwa akili ya kawaida haiwezekani nchi zote jirani ziwe COLD wakati madhara ya Al-shaabab ni widespread. Kama wamerakani waliwasaidia ku-plan iweje waende peke yao? Je, kuna uwezekano walifanya hivyo ili kukaa mkao wa kula wa 'misaada ya marekani kwenye hiyo vita?

The theory I am trying to develop hapa ni kwamba, Kenya waliamini Marekani were dead serious na hii vita na hivyo wangesaidia kwa hali na mali. Now, kama nchi nyingine zingekuwa heavily involved maana yake misaada ingegawanywa kwa washiriki wote. So unapoteza matonya wenzako and enjoy the dinner! Sadly the whole thing went upside down. Hizi invitations walizokuwa wanatoa baada ya kuingia vitani ni baada ya kuona nuksi inawachungulia. And it did!
 
Hahahaha, nimekuelewa sasa mkuu...
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Back
Top Bottom