NAME | POS | HGT | WGT | DOB | CURRENT TEAM / COLLEGE or HIGH SCHOOL |
F | 6-8 | 230 | 5/29/84 | New York Knicks / Syracuse | |
F | 6-10 | 230 | 3/24/84 | Miami Heat / Georgia Tech | |
G | 6-6 | 205 | 8/23/78 | Los Angeles Lakers / Lower Merion H.S. (PA) | |
C | 7-1 | 240 | 10/02/82 | New York Knicks / Dominguez H.S. (CA) | |
G | 6-10 | 220 | 3/11/92 | New Orleans Hornets / Kentucky | |
G | 6-9 | 235 | 9/29/88 | Oklahoma City Thunder / Texas | |
F | 6-8 | 230 | 8/17/86 | Memphis Grizzlies / Connecticut | |
G | 6-3 | 215 | 12/25/88 | New Orleans Hornets / Indiana | |
F | 6-10 | 251 | 03/16/89 | Los Angeles Clippers / Oklahoma | |
G | 6-5 | 220 | 8/26/89 | Oklahoma City Thunder / Arizona State | |
G/F | 6-6 | 207 | 1/28/84 | Philadelphia 76ers / Arizona | |
F | 6-8 | 250 | 12/30/84 | Miami Heat / St. Vincent-St. Mary H.S. (OH) | |
F | 6-10 | 260 | 9/07/88 | Minnesota Timberwolves / UCLA | |
G | 6-0 | 183 | 5/06/85 | Los Angeles Clippers / Wake Forest | |
G | 6-3 | 187 | 11/12/88 | Oklahoma City Thunder / UCLA | |
G | 6-3 | 209 | 7/26/84 | Brooklyn Nets / Illinois | |
Managing Director: Jerry Colangelo | |||||
Head Coach: Mike Krzyzewski, Duke University | |||||
Assistant Coach: Jim Boeheim, Syracuse University | |||||
Assistant Coach: Mike D'Antoni | |||||
Assistant Coach: Nate McMillan | |||||
Team Physician: Don Roberts, Portland Trail Blazers | |||||
Team Physician: Paul Saenz, San Antonio Spurs | |||||
Athletic Trainer: Joseph Sharpe, Oklahoma City Thunder | |||||
Athletic Trainer: Casey Smith, Dallas Mavericks |
WANAMICHEZO wa Tanzania watakaoshiriki michezo ya Olimpiki mjini London wataagwa rasmi leo na kukabidhiwa bendera ya taifa na Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amoss Makala. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Filbert Bayi wanamichezo hao kesho (leo) watakamilisha taratibu za mwisho na kupewa nafasi ya kuagana na familia zao kwa ajili ya safari ya kulekea London, England siku ya Jumapili. Kutakuwa na hafla ya kuwaaaga itakayofanyika kwenye hoteli ya JB, Belmont, Posta jijini Dar es Saaam iliyoandaliwa na kampuni ya vinywaji ya Cocacola na kukabidhiwa bendera ya taifa tayari kwa safari ya London, alisema Bayi. Alisema wanamichezo hao wataondoka na ndege ya shirika la Emirates kupitia Dubai na baadaye Manchester, ambapo wataondoka na usafari wa basi hadi Bladford watakapoweka kambi ya wiki tatu kabla ya kuanza kwa michezo ya Olimpiki. Wanamichezo wanaoondoka ni bondia, Selemani Kidunda, wanariadha Zakhia Mrisho, Samson Ramdhan, Faustin Mussa na Mohamed Msenduki na muogeleaji Magdalena Mosha, ambapo kila mchezo utakuwa na kocha mmoja, katika msafara huo pia kutakuwa na madaktari wawili na mkuu wa msafara mmoja. Tanzania inashiriki mashindano ya Olimpiki ikiwa na rekodi ya kutwaa medali mbili za riadha kwenye Olimpiki ya 1980 zilizoletwa na Filbert Bayi katika mbio za mita 3000 kuruka vihunzi na kukanyaga maji na Suleiman Nyambui aliyetwaa katika mbio za mita 5000. source:Mwananchi. |
Japan 1 Spain 0 FT
Game ilikua nzuri sana. Wa Spain wamepelekeshwa sana.
Tusubiri Uingereza na Senegal sasa baadae.
Kukiwa kumesalia siku 24 kabla michezo ya Olympics haijaanza rasmi katika jiji la London,sio vibaya tukijuzana kile kanachojiri kwa siku chache zilizo salia na kile kitakacho tokea wakati wote wa michezo hii ya 2012 LONDON.
Kama Japan wangekuwa makini basi goli zilikuwa kama 4 hivi spain walikuwa wanachezea jina wakajua Japan wataogopa jina,wamefunikwa kila idara leo