kwa hiyo na mgombea wa 2015 naye yumo katika kutuuza?Hii issue ya Loliondo itawachafuwa wengi
kwa hiyo na mgombea wa 2015 naye yumo katika kutuuza?Hii issue ya Loliondo itawachafuwa wengi
Mwanakijiji rudi huku kwenye thhread yako au na wewe umeisha pata hunting block?
Gazeti la motomoto lilikuwa la kwanza kuripoti hii issue (pamoja na ya Zanzibar kujiunga na OIC).... Kama kawaida yao, walipinga kila kitu, lakini mwisho wakakubali na baada ya hapo gazeti la motomoto likala BAN ya maisha"Dear Guest, Welcome to the UAE. Enjoy the best network coverage and other unmatched services only with Etisalat. Please use<+> or <00>before the country code for international calls. For directory services call 181, for availability of GPRS, MMS 3G roaming services call Etisalat Travellers help line 8002300 & for inquiries on Tourism, entertainment, shopping, etc call 7000-1-7000(Roaming rates apply) Have a pleasant stay in the UAE."
The above network text message leaves allot to be desired. One wonders whether Ortello Business Corporation is a private company or is a sovereign state within Tanzania. The question of the relationship between the Corporation and the Tanzania Communication Regulatory Authority (TCRA) did not stop lingering in the heads of members of the investigation team.
Dear Guest, Welcome to the UAE. Enjoy the best network coverage and other unmatched services only with Etisalat. Please use<+> or <00>before the country code for international calls. For directory services call 181, for availability of GPRS, MMS 3G roaming services call Etisalat Travellers help line 8002300 & for inquiries on Tourism, entertainment, shopping, etc call 7000-1-7000(Roaming rates apply) Have a pleasant stay in the UAE.
The above network text message leaves allot to be desired. One wonders whether Ortello Business Corporation is a private company or is a sovereign state within Tanzania. The question of the relationship between the Corporation and the Tanzania Communication Regulatory Authority (TCRA) did not stop lingering in the heads of members of the investigation team.
I our President aware of this au mnataka tumuelewe vibaya Mh Jakaya Mrisho Kikwete??? I can not believe this kama kuna mtu ana picha ya bango hilo au video atuwekee tuweze kuanza zoezi la kumtaka ATOE TAMKO KUHUSU HILO, VINGINEVYO IJULIKANE AMEUZA NCHI KWA WAARABU.
Iwarudi mara ngapi na Wamasai sasa hivi tunavyoongea walishasilimishwa na wameshajengewa na Msikiti?Hii ni hatari sana. Sasa hivi maadili hakuna mtu unakula kiapo cha utii kwa nchi yako kisha unauza nchi kweli.
IPO SIKU LOLIONDO ITAWARUDIA WAMASAI