Loliondo kwachafuka, watu wauana na kuchinjana kama kuku!

Sidhani kama Mwarabu anahusika, yeye Loliondo kaichukulia kama sehemu ya kuficha uovu kulingana na maadili ya dini yake. Hana shida kimsingi.

Na huyu mwarabu anafichaje hayo maovu_yanayolingana na dini yake mkuu,hebu kaufafanuzi kidogo hapo kiongozi wangu!
 
Geografia ya Panapotokea Matukia Na Kwa Babu Ni Mbali Sana. Huko Ni Waso Na Kwa Babu ni samunge. Waso Ndio Wako Wale jamaa wenye haki ya miaka 100 wanaojibebea wanyama, ni mji mdogo...

Jamaa wangeletwa mjini kutibiwa au wangepelekwa mahali inigine salama.. Kama wauaji wako hapo hapo si watawamalizia tu kirahisi?

Roho zao zipumzike kwa amani

Hapa ni lazima kuna mkono wa mwarabu,these people bana......aaaah!..

r.i.p wahanga
 
Mkuu! Tunashukuru kwa hbr hizi nzito yenye majonzi na bila shaka ni wakati wangu wa kukaa na kumwomba MUNGU na si mwanadamu arejeshe AMANI kama ilivyokuwa awali. Na zaidi ya yote napenda Rest In Peace kwa wale waliotangulia mbele za haki. Na sema Bwana alitoa na Bwana ametwaa! Jina lake na lihimidiwe! Amen!!
 
helkopata ngapi ziko huso waso kusaidia kutafuta hao wauji au helkopta ziko kwa ajili ya kumsafirisha mbowe dar to arusha..
 
helkopata ngapi ziko huso waso kusaidia kutafuta hao wauji au helkopta ziko kwa ajili ya kumsafirisha mbowe dar to arusha..
Crashwise unawachokoza watu fulani humu jukwaani watakuja kwa kishindo hapa kisha pasitoshe tehe tehe tehe tehe.
 
....MI nadhani ni mapema kuanza ku link hayo matukio na waarabu; Tukimbuke hapo Loliondo kuna migogoro ya wakulima (wasonjo) na Wamasai(wafugaji) amabayo sidhani kama imeshapatiwa suluhisho la kudumu. Kwa muda sasa zipo tetesi kuwa makabila yote wamekuwa wakijiandaa kwa siri kwa mapigano kwa kununua silaha (bunduki). Mfahamu kwamba wasonjo wako vizuri kwenye mapigano kwa kutumia mishale ya jadi yenye sumu na wamasai hali kadhalika ni wazuri na mikuki yao; wote hawa wameshajua uwezo mkubwa wa Bunduki na ndio sababu wanazikusanya. Hivyo basi; mzee wa Rula hebu fuatilia wanaouwawa ni wakabila moja tu au ni mchanganyiko.....
 
....MI nadhani ni mapema kuanza ku link hayo matukio na waarabu; Tukimbuke hapo Loliondo kuna migogoro ya wakulima (wasonjo) na Wamasai(wafugaji) amabayo sidhani kama imeshapatiwa suluhisho la kudumu. Kwa muda sasa zipo tetesi kuwa makabila yote wamekuwa wakijiandaa kwa siri kwa mapigano kwa kununua silaha (bunduki). Mfahamu kwamba wasonjo wako vizuri kwenye mapigano kwa kutumia mishale ya jadi yenye sumu na wamasai hali kadhalika ni wazuri na mikuki yao; wote hawa wameshajua uwezo mkubwa wa Bunduki na ndio sababu wanazikusanya. Hivyo basi; mzee wa Rula hebu fuatilia wanaouwawa ni wakabila moja tu au ni mchanganyiko.....

Uko sawa kabisa nimemuuliza mtu wangu wa karibu aliye huko anasema ni vita kati ya Wamasai na Wasonjo na chanzo ni kuna mmasai aliwapiga watoto(2) wa kisonjo (NGAYONI) na kupelekea kufa sasa ndio imepelekea vita hiyo.
 
Masikini Tanzania yangu!!!!!!!!!!!!
Mauaji ya kutisha kila kukicha ndani ya taifa letu?? Hivi ndivyo Ubinafsi wa viongozi unavyotupelekesha??
 
Poleni sana. Inaonekana waasi hao wanataka kuleta uoga iliwatu wote waishi wakijua wako hatarini, na wakikuingilia uwe tayari kuwapa wanacho taka bila kujaribu ku-resist. jiungeni na mshirikiane na polisi, watakamatwa tu. wala msiwaruhusu ku-impose insecurity!
 
Poleni hayo ni matokeo ya mkusanyiko wa watu kwa wingi mara moja. wanamua kujichukulia mamulaka bila kujali ubinadamu.
 
Hawana uhusiano na babu wa Loliondo, babu anaishi 68Kms kutoka Loliondo mji unaoitwa Samunge na matukio haya yote yametokea mjini Loliondo na Wasso. Inawezekana ikawa ni visasi vya kikabila na kudhulumiana lakini bado hiajawa confirmed.
kama ni visasi vya kikabila basi ni mbaya sana!!
inakuwaje watu wanadunguliwa na polisi kimya kabisa??? au ndo yaleyale....ukiona kimya basi ujue wamepewa maelekezo.
 
Habari kamili: Hv sas kuna vita ya kugombea maeneo ya ufugaji na kilimo kati ya wasonjo na wamasai katikati ya eneo la mgongo mageri(wasonjo) na olorien magaiduru(Wamasai) ambayo mpaka leo hii imepelekea vifo vya watu 7 (wamasai 2, wasonjo 2 na wairaq 3). vita hii upiganwa kila mwaka katika kugombea hayo maeneo. Mwaka huu kisa kilianza hv, watoto wawili wa kisonjo walikuwa wakichunga ng'ombe na mbuzi karibia na eneo linologombaniwa ndipo mmasai mmoja alipowaona na kuwafyatulia risasi mmoja ilimpata mgongoni na mwingine mkononi na kupelekea watoto hao kufa ndipo wasonjo nao walipoamua kulipa kisasi na kwenda kumuua mke wa m/kiti wa kijiji cha olorien magaiduru na mtoto kwa kumkatakata na mapanga na mtoto kupigwa risasi ya kichwa.
 
Panapotokea magigano ni kama km 30 kutoka kwa babu lkn kwenyewe ni juu mlima na anpoishi babu ni samunge amabako ukiteremka wasonjo wa mageri na wa samunge ni ndugu wa karibu sana coz hata diwani wa samunge anatoka kijiji cha mgongo mageri. namaanisha samunge ni kata na mgongo mageri ni kijiji ndani ya kata ya samunge.
 
Ndiyo hivyo ndugu yangu watu tunafikiria waarabu pekee ndiyo wanaweza kutenganisha vichwa na viwili wili kumbe hata bongo tumefikia huko!

Acha ubaguzi, nini kilicho waingiza warabu katika topic hii ? acha ubaguzi na chuki bana.
 
Mzee kuna picha yoyote kutoka huko Loliondo kuhusiana na mauaji haya mfululizo????????????????
 
Back
Top Bottom