lol nimemruhusu ila kiroho kinauma....

condorezaraisi

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
225
116
Jamani Niko mbali na mheshimiwa
Kanambia mama watoto naomba niruhusu leo nitoke out naenda pale kanga moko ...
Nimejikaza na kumwambia pls go honey you know i trust you..
ila roho inauma kupita kiasi..
Nawaza sijui nimwambie usiende ....:doh:
 
pole,distance love yahtaji moyo wa ujacr. mwache aende as long as mnaaminiana haina shda. hta km ukimwambia acende anaeza kwenda kwa usiri mwache aende
 
duh kanga moko?...bora kakwambia ukwel lakini...yuko kona bar huyo...kamisi kitumbua huyo...done!
 
You know him well,amini kua hawezi kufanya something stupid kama hana historia hiyo,be happy cause hata kama asingekwambia lazima angeenda na hata ukimwambia asiende kama amedhamiria lazma ataenda..usijipe headache..
 
anakwenda na rafiki yake walisoma chuo ndo alivyonambia

Haaminiki, kama ungekuwa na ndugu yako wa kiume huyo angekuwa bomba. Rafiki yake anaweza kumtupia taulo akikosea. Lakini mwisho ili ulale mwamini kama njia zote hapo juu zimeshindikana.
 
Lol! Dawa yake akikuambia naomba niende khanga moko, muambie sharti ni moja tu: kwa vile ulipo hamna khanga moko akuruhusu uende nude club. Mapenzi ya uhuru matamu asikuambie mtu!
 
Jamani Niko mbali na mheshimiwa
Kanambia mama watoto naomba niruhusu leo nitoke out naenda pale kanga moko ...
Nimejikaza na kumwambia pls go honey you know i trust you..
ila roho inauma kupita kiasi..
Nawaza sijui nimwambie usiende ....:doh:


Tuliza moyo ndugu........

Vya kawaida sana hivyo, anaeza asikuage na akaenda!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom