Lol, Mishahara Hadi Leo Hatujapata

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Kuna wakati tulijadili hapa kwamba serikali imefilisika, ukweli au si ukweli si hoja, lakini huwezi kuamini mimi ni mfanyakazi wa serikali hadi leo tarehe 6 mshahara haujaingia. Serikali ya JK afadhali hata Mwinyi. Mwinyi alikuwa anachelewesha ila tarehe 6 bila mshahara ni record mpya kuvunjwa. 2015 itafika kweli kwa uongozi huu dhaifu? Tusubiri tuone
 
Wewe unafanyia serikali gani mbona watumishi wote wa serikali wameshapata mishahara na hata wale ninaowadai dukani kwangu wameshanilipa?
 
Unafanya kazi taasisi gani ya serikali?? Usikute unamadeni kibao benk wamekata hela yao,ebu chukua bank statement kwanza!!!
 
wajinga ndo waliwao................. nyie endeleeni kulalamika JF, wenzenu wakigoma mnawaita magaidi..... uoga wenu ndio mtaji wao, na safari hii mpaka tarehe 20 ndo mtalipwa si unajua kuna uchaguzi arumeru??
 
Ni kweli kuna uchelewesho wa mishahara kwa wafanyakazi wa serikali. Lakini hii ni awamu kwa awamu. Mwezi huu ni zamu yenu. Sisi ilikuwa januari. March wengine wajiandae.
 
:flypig:Fedha zote zinatumika kwenye safari za JK ni lazima tulipwe kwa awamu................. kabla ya mwezi huu kwisha utasikia ameondoka nchini kuelekea...................!!!!!!!!!!! Vumilieni tuuu kwani 2015 siyo mbali sana sana:lol:
 
Back
Top Bottom