LOl!!KUMBE HATA HII NAYO NI NJIA YA KUZUIA MIMBA????

LOOOK

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,389
672
Kuna mtu ameniambia kwamba unaweza kuzuia mimba kwa njia hii badala condom
kwamba siku mbili kabla ya ku do mwanaume anaweza akazitoa mbegu (kama atapiga puny*to sawa) halafu ndo aje ku do na mwanamke (awe wako na mnaaminiana yani mmepima)bila hata kinga nasikia mwanamke hawezi kupata mimba hata akiwa siku za hatari
sababu: anadai kwamba ili mbegu ziweze kuzalisha zinahitaji walau masaa 120 sawa na siku 5 ili zikomae kuwezakuzalisha na kama hazija komaa haziwezi kuzalisha je swala hili ni kweli???? naomba wataalamu mtusaidie
 
We jidanganye tu na huo utafiti mbao, upapiga hiyo kitu uliyosema ukasubiri kwa mda ulosema then ukaduu na bdada wako na mda c mda ataanza chukia samaki wabichi na kutafuna tofali la udongo mbichi, hapo ndo utabaki sehemu ya kupitishia ugali ikiwa wazi!
 
Sio kweli ila tafiti zinaonyesha kuwa hiyo misskonsepsheni imetokea kijiweni baada ya kuchoka na siasa jamaa akaamua kuitoa hiyo mada.
 
Hapana huo ni muda wa uhai wa mbegu za kiume yaani mbegu za kiume zaweza kukaa na kuweza kutungisha mimba siku tano(masaa 120) kabla ya yai la mwanamke halijaachiwa.....lakini lina uwezo mkubwa zaidi wa kutungisha mimba kama zitamwagwa masaa 48 kabla ya yai la mwanamke!! Hayo unayosema sidhani kama ni sahii!! Mbegu mpaka zinaachiwa mara nyingi zinakuwa zimekomaa tayari!!
 
Kuna mtu ameniambia kwamba unaweza kuzuia mimba kwa njia hii badala condom
kwamba siku mbili kabla ya ku do yani siku ya tukio ilakabla ya lingi atlist masaa 8 kabla na ya nyuma yake mwanaume anaweza akazitoa mbegu (kama atapiga puny*to sawa) halafu ndo aje ku do na mwanamke (awe wako na mnaaminiana yani mmepima)bila hata kinga nasikia mwanamke hawezi kupata mimba hata akiwa siku za hatari
sababu: anadai kwamba ili mbegu ziweze kuzalisha zinahitaji walau masaa 120 sawa na siku 5 ili zikomae kuwezakuzalisha na kama hazija komaa haziwezi kuzalisha je swala hili ni kweli???? naomba wataalamu mtusaidie
na kwakuongezea anadai kuwa kwa kufanya hivo pia itazuia mwanaume kufika haraka hivo atachukua muda mrefu kidogo hadi kuja ejaculate wakati wa ku du kwa wale wenye tatizo hilo na hiyo imesha kuwa proved
 
Kwa ninavyojua tofauti na condom+vijiti+vidonge...etc mwanamke anaweza asishike mimba endapo ukishapiz, yeye anatakiwa akajisafishe kwa maji kama vile anavyomaliza kujisaidia.nukta
 
Kwa ninavyojua tofauti na condom+vijiti+vidonge...etc mwanamke anaweza asishike mimba endapo ukishapiz, yeye anatakiwa akajisafishe kwa maji kama vile anavyomaliza kujisaidia.nukta

Labda sperm za "kichina" ndo unaweza kuzizuia kwa style hiyo, za "mmatumbi" utazikuta nyavu ndogo zamaan!
 
....Tuache kufuata maneno ya kina "doctor Ndodi" kama uko serious unataka kupanga uzazi wataalam wanaelekeza njia zimegawanywa njia 2 tu yaani (1) natural methods au njia asili na (2) modern method au njia za kisasa

Njia za asili (mafanikio kwa kutumia njia hizi ni madogo, na ni ngumu kufuatisha)
1. Kumwaga mbegu njia
2. Kalenda (rhythm method)- una hesabu siku kujua lini ni siku ya "hatari"
3. Kutazama ute au kuchati joto la mwili

Njia za Kisasa (mafanikio ni makubwa, zinahitaji maelekezo au/kutolewa na mtaalam na pia zinaambatana na maudhi madogo madogo)
1. Hormonal/Homoni mf.sindano(depo provera) Vijiti (Implanons)
2. barrier methods/vizuizi mf: (condoms za kiume/kike, Kitanzi(Loop)
 
Back
Top Bottom