Loan kwa wanaoenda SAUT

Hivi kama nimepata mkopo halafu nkawa nasomea SAUT ntaupata huo mkopo....?
ivi mkuu umekosa maswali ya kuuliza?? au ndo wenge la boom!!! umechaguliwa SAUT,kwani huko hamna benki hamna njia za kupata loan yako!!! au unataka useme SAUT sio chuo na hakitambuliki...kuwa na ushirikiano mzuri na ubongo wako!!!! KARIBU SANA JF NA SIKU NYINGINE UJIFUNZE SIO KUANDIKA TU!!!
 
Join Date : 20th September 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
KARIBU SANA KIJANA...
 
Back
Top Bottom