Loan defaulters mlioajiriwa mmekwisha!!

Mpigaji

JF-Expert Member
Feb 6, 2011
384
42
Wale loan defaulters wa HESLB ambao walikula kiapo kwamba hawatalipa kwa kuwa pesa walizopewa ni ruzuku sasa wajiandae kulipa!HESLB imeteua mawakala ambao wanapita katika kila taasisi kuwapa maelekezo wakuu wa Idara namna ya Kuandaa taarifa za wahitimu wa vyuo vikuu waliosoma kwa mikopo ili waanze kulipa mara moja!Rafiki yangu mmoja ambaye alikuwa mkaidi kuhusu jambo hili,nilipomfahamisha alinywea!LIPENI PESA ZA WALIPA KODI BANA!MLIKUWA MNATANUA NA BOOK ALLOWANCE PALE MABIBO HOSTEL NA PALE MEEDA BAR!
 
Mzee upo dunia ipi?Wanaotakiwa kulipa ni wale wote ambao wamemaliza masomo kuanzia mwaka 1994 mpaka sasa!

Kwa nini kuanzia mwaka 1994??? huko nyuma watu walikuwa wanajisomesha??????????????????????
 
Je wale waliosemeshwa na serikali halafu wakaona ajira ya kibongo inazingiwa wakatumia elimu yaliyoipata wakajiajiri watapatikana vipi kulipa deni?
Je serikali iliwapatia ajira baada ya masomo ili waweze kuwatambua vizuri na kuwabana walipe deni. Hili zoezi bado ni gumu na huenda likaigharimu serikali.
 
Mzee upo dunia ipi?Wanaotakiwa kulipa ni wale wote ambao wamemaliza masomo kuanzia mwaka 1994 mpaka sasa!

Huu ndo ubaguzi, na ndio maana SILIPI.
Haiwezekani kwa wengine msaada, halafu kwetu ni mkopo!!
 
Ivi third quater wanaweka lini? Naisubiri kwa hamu na hiv UE Nimaliza!
 
Hawa bodi nao myeyusho! Ukiulizia balance haijulikani! Msipoangalia utakuta unalipa mara 2 ya mkopo!
 
Nimeshalipa deni langu, imebaki sijui 100,000/- namalizia next 5 months wananikata 20,000/- @ month; lipeni dawa ya deni kulipa wasomeshwe watoto wengine zaidi acheni uchoyo
 
Hawa bodi nao myeyusho! Ukiulizia balance haijulikani! Msipoangalia utakuta unalipa mara 2 ya mkopo!
kamanda

Jamaa wamenitenda kweli, i went there in person nikaambiwa sina deni, juzi nimekuta MTM ndani ya wadaiwa sugu, nimewaomba tena niwalipaje?? na nitahakikishaje kwamba jina limeondolewa? wameniambia wataniarifu sasa nimekua mpole
 
Back
Top Bottom