Loan Board: Kesomesha Masters na PhD: Ukweli halisi ulivyo

Andindile

JF-Expert Member
Mar 18, 2009
304
16
Ndugu wa JF hivi karibuni, board ya mikopo ilitangaza kuwa watasomesha wanafunzi wa Masters na PhD. Wengi tulilipokea tangazo hilo kwa fulaha lakini pia tukicaution kuwa inaweza kuwa political motive. Tulianza kuwahamasisha watu wenye pass zao nzuri waombe kabla selikari haijafunga mlango. Cha ajabu miongoni mwa watu tuliowahamasisha wamekwenda loan board na kuambiwa mikopo ipo tu kwa watu waliokwisha ajiriwa na taasisi za elimu ya juu and not otherwise.


Hii imekaaje?
 
Yes Bodi ya Mkopo iliweka hii wazi tangu mwanzo angalia ktk web yao!

Strategy ni kusomesha waalimu walioajiriwa ktk Elimu ya Juu tayari..na waendelee kufundisha ktk vyuo hivyo ambapo vyuo ndo watalipa hiyo mikopo kwa utaratibu maalum!!!

Muhimu Vyuo vya Elimu wangeajiri waalimu wengi na wapate nafasi ya kupata mikopo kwa sasa: this will be a strategy!

Hii ingefaa kuunganishwa na ile thread ingine!
 
Ph.D. is a requirement for a career as a university professor or researcher in most fields. Watu ambao hawako affilliatted na universities au research institutions sijui wanakimbilia hizi Ph.D. degrees for what? Mtu huhitaji Ph.D. ili uwe CEO, mkurugenzi, au mbunge.
 
Ph.D. is a requirement for a career as a university professor or researcher in most fields. Watu ambao hawako affilliatted na universities au research institutions sijui wanakimbilia hizi Ph.D. degrees for what? Mtu huhitaji Ph.D. ili uwe CEO, mkurugenzi, au mbunge.

aahh kumbe!! Nice to know dude
 
Ni kweli kwamba wanafadhili hata Postgraduate Diploma?
 
Kuweni makini jamani 2010 iko mlangoni mtasikia ahadi nyingi sana, daraja kujengwa mto Kilombero, daraja kujengwa kuunganisha Kigamboni, MSc na PhD kulipiwa na serikali na mikopo ya elimu yafutwa ...kila kitu tambarare...subirini baada ya uchaguzi .....kule kule!
 
Back
Top Bottom